Mbona Bei ya Kofia ya Mamelody (48,000tshs) ni sawa na bei Jezi ya SImba

Uchumi.Kuna watanzania wangapi wanaweza kununua jezi moja shilingi laki mbili?

Cha kushangaa ni nini! Una akili ndogo mno
 
Hizo sasa ndio jezi OG ,jezi 45k ndio mnasema OG? Jezi tu za ulaya nyingi zinacheza kwenye kuanzia 300k+.Kwa kifupi jezi zetu zinatofautiana rangi ila quality zipo sawa au zinakaribiana.
Mkiletewa jezi OG mtanunua kweli??

Maana kiingilio cha buku tano tu kinawashinda kujaza uwanja
 
Unataka viingilio vya timu kubwa vya Nini? Hangaika na kofia ya Sundowns kwanza. Kolo we
Hapo ndio uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho unabaki kubweka Kama jibwa.
Kama unajua ni viingilio vya timu kubwa kwanini unahangaika na Bei ya kofia zao
 
Reactions: Tui
Mbona ana ya st Anthony mbagala ni kubwa kuliko shule ya secondary temeke na wakati wanafanya mtihani mmoja wa necta mkuu nisaidie jibu
 
Iissue ka hiz niga Huwa zinaniaminisha wabongo wengi masikini sana Tena wakutisha


Deal of million dollars, kwishaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…