Mbona binti yangu anaelewa vya nje ya darasani tu?

Nina binti mwenye miaka 4 na miezi 7 sasa ! kutokana na uwezo wake wa kuchnaganua mambo nilijua ataanza shule akiwa na miaka 5 tu ! Lakini cha kushangaza amekuwa mzito ,hadi sasa hajajua kusoma hata maneno ya kawaida kama baba mama bibi nk !Cha kushangaza ni uwezo wake wa kushika mambo nje ya darasa !

mFANO ANAWEZA KUELEZEA HABARI ALIYOONA KWENYE TV ! na akaichambua kidogo mfano ...atauliza hivi kwa nini wanaoua albino hawakamwatwi !

Au waziri mkuu Pinda ameseama asali ni chakula bora! Au mimi nampenda Rais Obama tu ! Na anajua kuwa sasa hivi kuna mgogogro wa katiba kati ya CCM na UKAWA! Mfano mwingine ni unapo muomba kusali wakati wa kulala ataongea hadi unaogopa! juzi alituacha hoi alipoanza kunukuu maneno ya Bibilia ...

Kama yesu alivyosema leteeni mizigo niitawatua ,waacheni watoto wadogo waje kwangu hapo alikuwa amechomekea kuwaombea albino wanaouawa na kujiombea yeye na mdogo wake.

wataalamu nisaidieni uelewa huu uhamie pia darasni kwenye hesabu na kusoma kwani wakati mwingine nikimfundisha hunigomea kwa mfano nikimwambia hii j yeye hinibishia na kusema hii ni m ,akiona unamzidi atakuuliza kwa nini ni j!
 
MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Nina binti mwenye miaka 4 na miezi 7 sasa ! kutokana na uwezo wake wa kuchnaganua mambo nilijua ataanza shule akiwa na miaka 5 tu ! Lakini cha kushangaza amekuwa mzito ,hadi sasa hajajua kusoma hata maneno ya kawaida kama baba mama bibi nk !Cha kushangaza ni uwezo wake wa kushika mambo nje ya darasa ! mFANO ANAWEZA KUELEZEA HABARI ALIYOONA KWENYE TV ! na akaichambua kidogo mfano ...atauliza hivi kwa nini wanaoua albino hawakamwatwi !

Au waziri mkuu Pinda ameseama asali ni chakula bora! Au mimi nampenda Rais Obama tu ! Na anajua kuwa sasa hivi kuna mgogogro wa katiba kati ya CCM na UKAWA! Mfano mwingine ni unapo muomba kusali wakati wa kulala ataongea hadi unaogopa! juzi alituacha hoi alipoanza kunukuu maneno ya Bibilia ...Kama yesu alivyosema leteeni mizigo niitawatua ,waacheni watoto wadogo waje kwangu hapo alikuwa amechomekea kuwaombea albino wanaouawa na kujiombea yeye na mdogo wake wataalamu nisaidieni uelewa huu uhamie pia darasni kwenye hesabu na kusoma kwani wakati mwingine nikimfundisha hunigomea kwa mfano nikimwambia hii j yeye hinibishia na kusema hii ni m ,akiona unamzidi atakuuliza kwa nini ni j!
 
Hahaha dah... mpe mda mkuu . Pia inaonekana anashinda kwenye tv saana na kanisan ndo maana anauelewa mkubwa wa hayo mambo .. tumia mda mwingi kumfundisha ... bandika hata picha za irabu ukutani kwake azione mara kwa mara itasaidia
 
mwanao anakipaji.. Kwani si wote walionda shule wakafanikiwa kuwa na maisha mazuri badae.. Refer to bakhresa, bill gates nk. Japo shule ndo kitu essential mpeleke akakae boarding hukohuko hadi akil imkae sawa!!
 
4.7yrs!? Ni mapema mno kuwa concerned. Nadhani tatizo ni wewe upo over ambitious kwa mwanao.
 
4.7yrs!? Ni mapema mno kuwa concerned. Nadhani tatizo ni wewe upo over ambitious kwa mwanao.
 
Mtoto wako ana kipaji cha ziada. Kungekuwa na mfumo mwingine wa kupata elimu naona nyingine zaidi ya hii tunayoitumia sasa basi mwanao angekuwa upande huo mwingine. Sasa tatizo ni kwamba wote tumeaminishwa kuwa elimu bora ni ile ya kizungu hata km utakuwa na kipaji kingine. Ila akiamua kuzingatia masomo shule kwa uelewa wake anaweza kuwa ni moto wa kuotea mbali.
 
Anza kumpa kazi za masomo hasa kisayansi katika computa na flat screen (download children learning skills and games) utamfurahia, vinginevyo kipaji kitaishia uchochoroni
 
Anza kumpa kazi za masomo hasa kisayansi katika computa na flat screen (download children learning skills and games) utamfurahia, vinginevyo kipaji kitaishia uchochoroni
 
Ngoja cku aje kukuuliza "Baba mbona yule mkaka na mdada wanapenda kunyonyana midomo?"Sijui utamjibu nn,na ukimdanganya tu kwajinsi anaonekana kupenda kujua zaidi aambiwacho bac lazima amtafute mwenzake ili wapractise ili apate jibu alitakalo kwi kwi kwi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…