kuna kaukwel mkuuHahaha dah... mpe mda mkuu . Pia inaonekana anashinda kwenye tv saana na kanisan ndo maana anauelewa mkubwa wa hayo mambo .. tumia mda mwingi kumfundisha ... bandika hata picha za irabu ukutani kwake azione mara kwa mara itasaidia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.