Mbona binti yangu anaelewa vya nje ya darasani tu?

Mbona binti yangu anaelewa vya nje ya darasani tu?

Usidharu hili nakushauri umpeleke kwa mtaalamu, kwani anaweza kuwa ana learning difficulties. Nilikuwa na jirani yangu alikuwa ni mechanics mzuri sana lakini piga uwa hawezi kusoma kabisa nilipomuuliza akaniambia ana learning difficulties, huenda ikawa ni utoto pia God knows na wewe jitahidi kupata ushauri wa ziada good luck buddy
 
inaelekea wewe uyu ndo mwanao mkubwa.............
relax wala hajachelewa ila tu wewe ndo unataka awahi unakotaka wewe, mwache mtoto tena usimchoshe kwa kumlazimisha kuelewa ya darasani mwl wake anajua amkuzeje aelewe.

navuta hisia jins unavyokasirika kwasababu anashindwa kuandika bibi na baba af nakuona umepotoka kwasababu hujui mtoto huanza kujua kuandika vizuri kabisa akiwa na umri gani..
 
learning difficulties??
what is learning in your context?
what are ways of learning?
according to your argument can you draw a clear picture between learning disability and Intelligent
 
I know the girl she's too young to read and write but some kids they learn quick, na sikuwa na nia ya arguments ila ni msaada tu kama unaweza msaidia changia,
 
I know the girl she's too young to read and write but some kids they learn quick, na sikuwa na nia ya arguments ila ni msaada tu kama unaweza msaidia changia,

Dyslexia can be the answer

learning difficulties??
what is learning in your context?
what are ways of learning?
according to your argument can you draw a clear picture between learning disability and Intelligent
 
Mpe muda, mie sikuwa mtoto promising bahat yangu sio first born so wazazi hawaku panic sana. Shule nilikuwa naimba tuu hadi majiran wanikumbuka kwa hilo. Baada ya muda nikashika kasi sikurudi nyuma kwa hiyo punguza muda wa Tv thn tumia vitabu vyenye michoro sana kuliko maneno kumfundishia. Msaidie kujifunza kutuliza akili sehemu moja. Mfano, usimfundishe huku unaangalia mpira .
 
kuna watu kama Einstein walikuwa wamekuwa labeled kabisa kuwa hawataweza shika lolote darasani na maishani - kumbe hawa ma genus huu mfumo wa darasani huwa uko kinyume na akili inavyowaelekeza.

Tatizo kubwa hapa ni walimu na wazazi sie kuwa busy kiasi cha kutowafanyia uchambuzi watoto.

kuna hawa wana saikolojia wangeweza kukusaidia ili mtoto awe comfortable na anachokiamini.

watoto siku hizi balaa - kuna mtoto wa miaka 6 katoka sunday school kauliza tumeumbwa na Mungu, je Mungu kaumbwa na nani? na Adam na Eva walitenda dhambi wapo motoni hadi sasa maana mtu mwenye dhambi huenda motoni.
 
wakati mwingine nikimfundisha hunigomea kwa mfano nikimwambia hii j yeye hinibishia na kusema hii ni m ,akiona unamzidi atakuuliza kwa nini ni j!

Hapo ndio mtoto aliponipa raha kupita maelezo yaan.

Kiongozi cha kufanya hapo ni kumuelimisha mtoto umuhimu wa shule na umwambie ni kwa nini ni muhimu kwake kujua hayo mambo ya shule na jitahidi umuaminishe pia ili atilie mkazo.
Angalizo:Mpe sababu za kitoto zaidi na Ongea nae kwa lugha ya kitoto pia,usije ukamwambia usipoenda shule utaishi maisha magumu na n.k....Ila unaweza kumwambia "Ili uwe mtoto mzuri ni lazima ujue kusoma na kuhesabu,Umpe mfano wa "kibao kinachoonyesha usipite njia hii kuna hatari" na N.k,Natumaini umenielewa nachojaribu kuelezea.

Yote kwa Yote,hongera sana kwa kuwa na mtoto muelewa.
 
huyo atakuja kuwa mtangazaji mkuze hivyo hivyo tena atakuwa wa kimataifa usimkatishe tamaa
 
We mtundu !
inaelekea wewe uyu ndo mwanao mkubwa.............
relax wala hajachelewa ila tu wewe ndo unataka awahi unakotaka wewe, mwache mtoto tena usimchoshe kwa kumlazimisha kuelewa ya darasani mwl wake anajua amkuzeje aelewe.

navuta hisia jins unavyokasirika kwasababu anashindwa kuandika bibi na baba af nakuona umepotoka kwasababu hujui mtoto huanza kujua kuandika vizuri kabisa akiwa na umri gani..
 
Nina binti mwenye miaka 4 na miezi 7 sasa ! kutokana na uwezo wake wa kuchnaganua mambo nilijua ataanza shule akiwa na miaka 5 tu ! Lakini cha kushangaza amekuwa mzito ,hadi sasa hajajua kusoma hata maneno ya kawaida kama baba mama bibi nk !Cha kushangaza ni uwezo wake wa kushika mambo nje ya darasa ! mFANO ANAWEZA KUELEZEA HABARI ALIYOONA KWENYE TV ! na akaichambua kidogo mfano ...atauliza hivi kwa nini wanaoua albino hawakamwatwi !

Au waziri mkuu Pinda ameseama asali ni chakula bora! Au mimi nampenda Rais Obama tu ! Na anajua kuwa sasa hivi kuna mgogogro wa katiba kati ya CCM na UKAWA! Mfano mwingine ni unapo muomba kusali wakati wa kulala ataongea hadi unaogopa! juzi alituacha hoi alipoanza kunukuu maneno ya Bibilia ...Kama yesu alivyosema leteeni mizigo niitawatua ,waacheni watoto wadogo waje kwangu hapo alikuwa amechomekea kuwaombea albino wanaouawa na kujiombea yeye na mdogo wake wataalamu nisaidieni uelewa huu uhamie pia darasni kwenye hesabu na kusoma kwani wakati mwingine nikimfundisha hunigomea kwa mfano nikimwambia hii j yeye hinibishia na kusema hii ni m ,akiona unamzidi atakuuliza kwa nini ni j!

atabadilika tu- nakumbuka mtoto fulani ukimwambia hii moja anakata anasema hiyo chifuri! Haitochukua muda- vuta subira
 
Dyslexia can be the answer

for Christlsake are you diagnosing to be disylexic child?

uwiiiiiiiiiiiii................
you are lost aisee, kid hana tatizo hilo, she doesn't have symptoms, usimzushie umeambiwa ana difficult in speech development?
just read these symptoms and tell me this child have one among them:-Dyslexic children of school age can have various symptoms.

  • The symptoms may include difficulty identifying or generating rhyming words, or counting syllables in words (phonological awareness),[SUP][/SUP]
  • a difficulty segmenting words into individual sounds, or blending sounds to make words[SUP],[/SUP][SUP][/SUP]
  • a difficulty with word retrieval or naming problems [SUP][/SUP]commonly very poor spelling[SUP],[/SUP][SUP][/SUP] which has been called dysorthographia or dysgraphia whole-word guesses,
  • and tendencies to omit or add letters or words when writing and reading are considered tell-tale signs.

in all these, the said child doesn't fall on it, stop scaring her parent.
 
Kwanza sio mapema sana. Mwanangu ana miaka 4.5 anasoma hadi vichwa vya habari na habari nyingine zenye fonti kubwa. Mpungunzie mda wa tv , mwongezee vitabu vyenye picha na katuni zenye captions
 
Back
Top Bottom