Ha ha ha huyo mtoto so fun i wish he/she was my young ningeinjoy sana, akili za darasani ztakuja a na anazo ila bado hazijawa revealed inahitaji technic za ziada kama kumuwekea material kama vitabu vya picha na maneno kama mi nakumbuka utotoni nliwekewa mazingra flani ya kuwa karibu na vitabu mda mwingi i swear neno greel nlilijua hata kabla sijaanza chekechea kutokana na picha nzuri ya geti halafu chini imeandikwa greel japo nlkua siwezi kulisoma ila kila nlipoona geti, neno greel lilijichora kichwani, so mazingira kama hayo yanasaidia