Waziri mwenye dhamana ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ametangaza kuwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa utafanyika Novemba, 2024.
Jinsi muda unavyoyoyoma kuelekea uchaguzi huo ninaona kabisa CHADEMA hawajijipanga kabisa kwa Uchaguzi huu. Wenzenu CCM wanapita nyumba kwa nyumba wakiomba kura, Wanapita nyumba kwa nyumba au mtaa kwa mtaa wakiandikisha wananchi ninyi CHADEMA mko kimya.
Soma Pia: Waziri Mchengerwa: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Bara utafanyika 27 November, 2024
Kwa uchaguzi huu nionavyo mimi CCM watavuna zaidi ya asilimia 95 ya Mitaa yote Tanzania Bara. Msije mkailaumu CCM kuwa wamewachezea rafu kumbe ninyi ndo hamkufanya juhudi kuhakikisha mnapata ushindi wa kishindo.