Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Mbona kimya ghafla? Nini tatizo wandungu?
Kila Kona ya nchi watu wamejawa na kiua ya kuona usajili wa chama pendwa Duniani.
Watu wanataka kuvunja rekodi za chama kuvuna wanachama mamilioni Kwa wiki Moja tu, tena bila mikutano ya hamasa.
UMOJA party kinawanachama kabla ya kusajiliwa, ni chama ambacho watu Wana Imani nacho kama dini vile.
Serikali ya CCM wanatakiwa kusapoti usajili wa chama hiki ufanyike haraka bila figisu kwani hiki ndio chama pekee ambacho ni kipimo sahihi Kwa ukomavu wa CCM.
UMOJA party ni kimbilio neutral Kwa watu wanao tafuta uwanja mbadala wa siasa.
Sasa ukimya wa UMOJA PARTY unaleta mashaka, tunataka kujua hatua ipi imefikiwa.
Tunataka kusimamisha wagombea katika Uchaguzi wa 2025.
Tafadhali tunaomba Updates.