Mbona Chama cha Umoja Party kipo kimya?

Mbona Chama cha Umoja Party kipo kimya?

Chama chenye picha ya marehemu inayotumika kama nembo hakiwezi kusaijiliwa kamwe.

Chama kilianzishwa na sukuma gang kwa malengo ya kuendeleza maovu yaliyokuwa yanafanywa na jini jiwe (Legacy ya jiwe).
Tamka legacy ya magufuli huku umekaza matak wewe ujui huyo ni mtukufu JPM
 
Kinakuja kushindana na upinzani au CCM?[emoji23][emoji23]
Kinakuja kushindana na wahuni wote wa chama tawala na upinzani na tunamtambua kuwa magufuli ni mtukufu....siyo yule chegovara wamsoga ambaye mama kahaba ,baba fisadi mtoto ana uza ngada
 
Hakuna Chama Pale, Lile Ni Genge Tu La Watu
Chama chocote ni genge la watu, bahati nzuri umekili ni genge la watu hivyo tayari limekidhi sifa za kuwa chama, maana chama cha siasa ni grup la watu wenye mtazamo na madhumuni yanayofanana.
 
Kinakuja kushindana na wahuni wote wa chama tawala na upinzani na tunamtambua kuwa magufuli ni mtukufu....siyo yule chegovara wamsoga ambaye mama kahaba ,baba fisadi mtoto ana uza ngada
Anzisheni basi, mnasubiri nini?
 
Usajili unakaribia?? wapewe usajili wawepo kwenye baraza la vyama vya siasa ili nao waweze kutoa lao katika tathmini ya mapendekezo ya Njia za kufikia Katiba mpya..
 
Kwani UP hawajaunga juhudi?
Umoja Party ni chama chenye kuubeba uzito wa karibia vyama vyote vya Siasa nchini. Inawezekana msajili hakuwa amekosea kufifisha ujio wao.

Kwa kifupi Hayat Rais J.P.M bado ana ushawiahi mkubwa sana katika mwelekeo wa Uchumi, Siasa na Jamii wa nchi hii. Matamanio ya Wananchi bado yapo pale pale

Umoja Party iliweza, na bado inaweza kutoa tamanio la wengi.
 
Back
Top Bottom