Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Chama duniani ni huyo mmoja tu?Kwa mchezo unaoendelea sasa hivi Chama yupo kwenye list ya wachezaji ambao wapo benchi.
Hizi tetesi kwamba yupo bongo imekuwaje?
View attachment 2047771View attachment 2047772
Simba walitangaza lini Chama yupo Bongo?Simba waongo waongo Sana...
Unajua maana ya neno kolo?Heee, TK masters kutoka Dar Young Africans SC anamuweka benchi chama kutoka Makolo fc?
Jibu hili, Mweeee!!Kwani Chama duniani ni huyo mmoja tu?
Ndio mjue simba ni waongo balaaaKwa mchezo unaoendelea sasa hivi Chama yupo kwenye list ya wachezaji ambao wapo benchi.
Hizi tetesi kwamba yupo bongo imekuwaje?
View attachment 2047771View attachment 2047772
Kocha Ibenge ni muumini wa mbio wakati Chama ni mtulivu na slow. Hukumbuki hata AS Vita iliyocheza na Simba kwenye CAF champions league walivyokuwa wanakimbia?Heee, TK masters kutoka Dar Young Africans SC anamuweka benchi chama kutoka Makolo fc?
Na ndicho kilicho mkostisha kocha, anaacha kuweka mchezaji ye anaweka marathon runnerHeee, TK masters kutoka Dar Young Africans SC anamuweka benchi chama kutoka Makolo fc?
Mpira umeishajehivi umeangalia mechi Chama alivyokiwasha?
Soka la bongo Janja Janja nyingiKwa mchezo unaoendelea sasa hivi Chama yupo kwenye list ya wachezaji ambao wapo benchi.
Hizi tetesi kwamba yupo bongo imekuwaje?
View attachment 2047771View attachment 2047772
Ndo Maana mnaitatwaga machoko Ivo Ivo ,una papara balaa ,Chama na Kisinda wanacheza no moja?Heee, TK masters kutoka Dar Young Africans SC anamuweka benchi chama kutoka Makolo fc?