ila kuna waliokuwa serious
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unantania Ww,hii ni zaidi ya adhabu ujue...Hapana Adhabu itazidisha uchungu nakwangu !!.
Tufanye tarehe km yaleo 2019 iwe.
Haaaaaa kweli bana ,, sasa kwann unizungushe wakati tylikubaliana kubadilishana ,toka mwaka Jana ,naww ukaniambia nisibadilishane namtu nisubiri tubadilishane , sasa mpaka Leo aiseee alafu unajua nina uhitaji nao sanaa ??.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unantania Ww,hii ni zaidi ya adhabu ujue...
Nipe nyongeza kwanza bathiiiii[emoji39] [emoji39]Haaaaaa kweli bana ,, sasa kwann unizungushe wakati tylikubaliana kubadilishana ,toka mwaka Jana ,naww ukaniambia nisibadilishane namtu nisubiri tubadilishane , sasa mpaka Leo aiseee alafu unajua nina uhitaji nao sanaa ??.
Sio poaaa ,, ifike mahali tuwe na mioyo ya watoto ,akisema kasema kweli, au ulikua unanitamanisha tuu? Namm nilijua tu ,,aya kaa nao ukiwa tayar uniambie ,ila ujue namm itanibidi nikupe mzigo wenyewe tu natoa na nyongeza nilopanga kuiweka.
Tatizo you don't wanna to walk on the same way !!... Nikupe nyongeza alafu ukinambia tafuta mwingine badilishana naye au kanunue kipya ,, mie sindo hasara ??? HahahaaaaNipe nyongeza kwanza bathiiiii[emoji39] [emoji39]
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]KK anamichepuko kila kona me nimemshindwa kwakweli
Halafu hebu nitajie kapo yako kwanza
Kumbe wewe ndiye unayemuharibia jirani yangu kichwa kichafu eehUnalolisema ni kweli maana kila nikipita kijiwe lazima nimkute anabebika.
Mimi sina kopo bana, Dada yangu emmyta amenikataza[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ha ha ha ha ha Baby Vladimirovich Putin umepita hukuuu......weekend ndiyo hiyo aseeh siku zinayoyoma kamwaka kameshakata kiutani utani tu. Kina Asprin washatoka Moshi tupo nao Town tunachakarika.
Sitaki kuamini vyuma vimekaza hadi couple za humu ndani zimelala zingine zime seaze! mwaka Juzi ilikuwa ukikatisha humu 70% ya maneno ni baby love sweet honey na furaha za kufa mtu. Kulikoni mazee, tunapenda kuwaona tena mjue! Kwa uchache:-
STUNTER tuseme anadownload pesa, sawa mwaka unaisha shemeji jje's kaamua kuwa msomaji.
Shunie na lee empire [ Lyon Lee] siwaoni.
Bailly5 na Madame S sijawasahau
kiwatengu na shansarie tuseme washazeeka sasa je, Saint Ivuga na Inna?
Heaven Sent na Benny labda toka waende vacation hawajarudi je, The bold na Nifah!
Nyani Ngabu na Kasinde ilibaki historia sawa , pia Mentor na Evelyn Salt kama barafu ikaanza kuyeyuka taratibu taratibu. mshana na Angel Nylon sijui tunguli zimemgomea!
Mbona kasi hupungua haraka humu, naamini wengi basi mnayahamishia mashamsham nje ya JF hongereni saana asee, muwe mnaleta mirejesho ya ndoa nasi tujikoki humu kuna watoto wazuri.
Niwapongenze kindakindaki hawa wanne Putin kwa mima na Beira Boy kwa MBITIYAZA pamoja wanakuja kwa kasi saana, naamini watafanya makubwa wenzao tuliyoshindwa kuyafanya.
muwe wapole hizi ni salamu tu
hahaha [emoji23][emoji28][emoji23]Mzigo ale mwingine majina mapenzi uniite mm...sitaki hayo mambo
Yes Sweetheart , kazi inaendaje mama ?Ha ha ha ha ha Baby Vladimirovich Putin umepita hukuuu......
Mkuu Miller ,,nmekuona namm lazima nipite nikusalimu !!hahaha [emoji23][emoji28][emoji23]
bila shaka ni The bold na Nifah eeh!Nilipojiunga JF dec 2016,Niliikuta couple moja tu ndo ninayoamin ya ukweli sema ban iliwaharibia mudi ya kuzurura mitaa ya JF. Hizi zilizofuatia za 2017 siamin kama kuna ya ukweli hapo bali ni ile kupaishana tu mitaa ya JF.
Eeeh jamaniiii khaa[emoji12] [emoji12] biashara uaminifu ujueeTatizo you don't wanna to walk on the same way !!... Nikupe nyongeza alafu ukinambia tafuta mwingine badilishana naye au kanunue kipya ,, mie sindo hasara ??? Hahahaaaa
Naogopa kupata hasara ,bora ungesema nifanye km alivyotakiwa kufanya Dr Shika 25%. ..lkn napo bado ningetia shaka kwanza ,Sahihi yako nitaipata wapi ???.Weweeee..wacha tu nijipangee nitafute kitu cha Original km chako vipo tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumbe wewe ndiye unayemuharibia jirani yangu kichwa kichafu eeh
Asante chief, habari ya kwako..Mkuu Miller ,,nmekuona namm lazima nipite nikusalimu !!
Inaenda poa mpnz Vladimirovich Putin.
Haaaaaa niuaminifu ndio ,ila sahihi nilazima tena siku izi ,sahihi za alama za vidole na nasura lazima viwepo maana dunia imeharibika hiiii !!!.Eeeh jamaniiii khaa[emoji12] [emoji12] biashara uaminifu ujuee
Ebwana Shemu wako hataki kuvurugana ,japo kua nikijeshi JeshiAsante chief, habari ya kwako..
hongera nimeona couple yenu ipo kwenye list inayofanya vizuri, nice.