Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

Mie nina makopo kibao, kk ni jirani yangu mpendwa, the only jirani in the world [emoji6]
Jirani mwenye siri nzito za jirani yake anayewajua mashemeji zake na bila kuwabagua anawafanya wanakuwa marafiki zake [emoji41]
Nani kama kk, embu muache kichwa kichafu wangu banah. Huyo carba ameshindwa mwenyewe tuu kk hana makuu kabisa.
Mmmhhh

Haya
 
Amfate pm amwambie ukweli ye aendelee tu kulia lia jukwaani siku ya siku anakutana na uzi wa mapenzi kaandikiwa sijui atakufwa
Anasema jamaa atamuona kama kajirahisi, amebaki akiona coment ya jamaa analegea kisimi kinacheza
 
Njoo basi kesho uuchukue,mm nilitaka uupate ukiwa viwango vingine ili uniamini zaidi na zaidi....
Aaahhh bora niufate mwenyewe tuuu ,, niambie hapa hapa au PM niwap niwakute ??....

Sawa hata Mimi nilitaka nikute kina kiwango zaidi ila shida nikwamba Hunipi taarifa ,siku zinaenda tu ,alafu mbaya nina uhitaji nao naww ukasema niache tuuuu nisubiri wako ..sasa daahhh jaman ingekua labda unanipa bure mtu tunabadilishana lkn chenga nyingi daaahhh..

Ifike mahali watu muwe wawazi ,,km bado unaitumia nijue chakufanya , washikaji kibao nawapiga chenga ili nisikuangushe mwana JF mwenzangu lkn Wewe pasuaa kichwa chenga nyingiii nataarifa hutoi ,unapunguza uuaminifu bana !!.
 
Back
Top Bottom