Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unantania Ww,hii ni zaidi ya adhabu ujue...
Haaaaaa kweli bana ,, sasa kwann unizungushe wakati tylikubaliana kubadilishana ,toka mwaka Jana ,naww ukaniambia nisibadilishane namtu nisubiri tubadilishane , sasa mpaka Leo aiseee alafu unajua nina uhitaji nao sanaa ??.

Sio poaaa ,, ifike mahali tuwe na mioyo ya watoto ,akisema kasema kweli, au ulikua unanitamanisha tuu? Namm nilijua tu ,,aya kaa nao ukiwa tayar uniambie ,ila ujue namm itanibidi nikupe mzigo wenyewe tu natoa na nyongeza nilopanga kuiweka.
 
Nipe nyongeza kwanza bathiiiii[emoji39] [emoji39]
 
Nipe nyongeza kwanza bathiiiii[emoji39] [emoji39]
Tatizo you don't wanna to walk on the same way !!... Nikupe nyongeza alafu ukinambia tafuta mwingine badilishana naye au kanunue kipya ,, mie sindo hasara ??? Hahahaaaa

Naogopa kupata hasara ,bora ungesema nifanye km alivyotakiwa kufanya Dr Shika 25%. ..lkn napo bado ningetia shaka kwanza ,Sahihi yako nitaipata wapi ???.Weweeee..wacha tu nijipangee nitafute kitu cha Original km chako vipo tu.
 
weekend ndiyo hiyo aseeh siku zinayoyoma kamwaka kameshakata kiutani utani tu. Kina Asprin washatoka Moshi tupo nao Town tunachakarika.

Sitaki kuamini vyuma vimekaza hadi couple za humu ndani zimelala zingine zime seaze! mwaka Juzi ilikuwa ukikatisha humu 70% ya maneno ni baby love sweet honey na furaha za kufa mtu. Kulikoni mazee, tunapenda kuwaona tena mjue! Kwa uchache:-

STUNTER tuseme anadownload pesa, sawa mwaka unaisha shemeji jje's kaamua kuwa msomaji.

Shunie na lee empire [ Lyon Lee] siwaoni.
Bailly5 na Madame S sijawasahau

kiwatengu na shansarie tuseme washazeeka sasa je, Saint Ivuga na Inna?

Heaven Sent na Benny labda toka waende vacation hawajarudi je, The bold na Nifah!

Nyani Ngabu na Kasinde ilibaki historia sawa , pia Mentor na Evelyn Salt kama barafu ikaanza kuyeyuka taratibu taratibu. mshana na Angel Nylon sijui tunguli zimemgomea!

Mbona kasi hupungua haraka humu, naamini wengi basi mnayahamishia mashamsham nje ya JF hongereni saana asee, muwe mnaleta mirejesho ya ndoa nasi tujikoki humu kuna watoto wazuri.

Niwapongenze kindakindaki hawa wanne Putin kwa mima na Beira Boy kwa MBITIYAZA pamoja wanakuja kwa kasi saana, naamini watafanya makubwa wenzao tuliyoshindwa kuyafanya.

muwe wapole hizi ni salamu tu
Ha ha ha ha ha Baby Vladimirovich Putin umepita hukuuu......
 
Tatizo you don't wanna to walk on the same way !!... Nikupe nyongeza alafu ukinambia tafuta mwingine badilishana naye au kanunue kipya ,, mie sindo hasara ??? Hahahaaaa

Naogopa kupata hasara ,bora ungesema nifanye km alivyotakiwa kufanya Dr Shika 25%. ..lkn napo bado ningetia shaka kwanza ,Sahihi yako nitaipata wapi ???.Weweeee..wacha tu nijipangee nitafute kitu cha Original km chako vipo tu.
Eeeh jamaniiii khaa[emoji12] [emoji12] biashara uaminifu ujuee
 
Kumbe wewe ndiye unayemuharibia jirani yangu kichwa kichafu eeh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe ndio umemunyang'anya carbamazepine, mimi najua KK na carba ni kopo lakini nikaja kushangaa kule kijiwe cha usiku wa manane naambiwa KK ni kopo yako
 
Eeeh jamaniiii khaa[emoji12] [emoji12] biashara uaminifu ujuee
Haaaaaa niuaminifu ndio ,ila sahihi nilazima tena siku izi ,sahihi za alama za vidole na nasura lazima viwepo maana dunia imeharibika hiiii !!!.

Alafu bwana ,hiii sio biashara , niseme ni kitu ya kiubinadamu , sio kwamba tukibadilishana we itakua umepoteza au Mimi nmepoteza bila shaka yapo mengi ambayo hata we kwabaadae utahitaji tusaidiane

Naninaposema nilipanga nikuongezeee nisababu tu yakwamba bado nmeona mzigo uko vzuri alafu kuitaji tubadilishane nijambo zuri zaidi la hekima uloamua ,ndo maana nikasema izo zitakua nikm shukurani zangu .

Au vipi nielekeze ulipochukua ,,au siku ukirudi uko hong kong unambie ukanichukulie.
 
Back
Top Bottom