Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

Inaenda poa mpnz Vladimirovich Putin.

Daby sisi vyumavyetu havijakaza bado tumeamua kubebishana huku huku🙂
🙂mkuu
Jambo zuri ,Mshukuru Muumbaji akuzidishiaye kipato chako nakupaye Afya njema !! ..Afya ikupayo uwezo wakutenda kazi vile utendavyo.

Mima white cute vyuma haviwezi kukaza km unaamka asubuhi nakwenda kazini....Mungu humbarikia mwanadamu yule aamkaye asubuhi nakwenda kazini kwake.

Hivo sitegemei upungukiwe kitu ,au Mimi nipungukiwe kitu......nkm litatokea nbasi niupepo tu ambao nyuma yetu watakuwepo wa kutushikilia.
 
Mapenzi yapo.wacha watu watafute mikwanjA kwanza
 
Njoo basi kesho uuchukue,mm nilitaka uupate ukiwa viwango vingine ili uniamini zaidi na zaidi....
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe ndio umemunyang'anya carbamazepine, mimi najua KK na carba ni kopo lakini nikaja kushangaa kule kijiwe cha usiku wa manane naambiwa KK ni kopo yako
Mie nina makopo kibao, kk ni jirani yangu mpendwa, the only jirani in the world [emoji6]
Jirani mwenye siri nzito za jirani yake anayewajua mashemeji zake na bila kuwabagua anawafanya wanakuwa marafiki zake [emoji41]
Nani kama kk, embu muache kichwa kichafu wangu banah. Huyo carba ameshindwa mwenyewe tuu kk hana makuu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…