Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

Inaenda poa mpnz Vladimirovich Putin.

Daby sisi vyumavyetu havijakaza bado tumeamua kubebishana huku huku🙂
🙂mkuu
Jambo zuri ,Mshukuru Muumbaji akuzidishiaye kipato chako nakupaye Afya njema !! ..Afya ikupayo uwezo wakutenda kazi vile utendavyo.

Mima white cute vyuma haviwezi kukaza km unaamka asubuhi nakwenda kazini....Mungu humbarikia mwanadamu yule aamkaye asubuhi nakwenda kazini kwake.

Hivo sitegemei upungukiwe kitu ,au Mimi nipungukiwe kitu......nkm litatokea nbasi niupepo tu ambao nyuma yetu watakuwepo wa kutushikilia.
 
Mapenzi yapo.wacha watu watafute mikwanjA kwanza
 
Haaaaaa niuaminifu ndio ,ila sahihi nilazima tena siku izi ,sahihi za alama za vidole na nasura lazima viwepo maana dunia imeharibika hiiii !!!.

Alafu bwana ,hiii sio biashara , niseme ni kitu ya kiubinadamu , sio kwamba tukibadilishana we itakua umepoteza au Mimi nmepoteza bila shaka yapo mengi ambayo hata we kwabaadae utahitaji tusaidiane

Naninaposema nilipanga nikuongezeee nisababu tu yakwamba bado nmeona mzigo uko vzuri alafu kuitaji tubadilishane nijambo zuri zaidi la hekima uloamua ,ndo maana nikasema izo zitakua nikm shukurani zangu .

Au vipi nielekeze ulipochukua ,,au siku ukirudi uko hong kong unambie ukanichukulie.
Njoo basi kesho uuchukue,mm nilitaka uupate ukiwa viwango vingine ili uniamini zaidi na zaidi....
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe ndio umemunyang'anya carbamazepine, mimi najua KK na carba ni kopo lakini nikaja kushangaa kule kijiwe cha usiku wa manane naambiwa KK ni kopo yako
Mie nina makopo kibao, kk ni jirani yangu mpendwa, the only jirani in the world [emoji6]
Jirani mwenye siri nzito za jirani yake anayewajua mashemeji zake na bila kuwabagua anawafanya wanakuwa marafiki zake [emoji41]
Nani kama kk, embu muache kichwa kichafu wangu banah. Huyo carba ameshindwa mwenyewe tuu kk hana makuu kabisa.
 
Back
Top Bottom