Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

Mmh hii ya kutoa papa kisha kuja kuanikwa humu inanitisha bora kubaki mpenzi mutazamaji tu. Akina mr smart wanafaidi sana.
Zipo lukuki sema zingine kimya kimya zingine wanafanya utani utani kumbe papa zinatolewa.

Ila wewe mgumu kwa couple kinoma yaani viserengeti naonaga vinakuja unavitolea.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sisi sote ni ndugu mkuu,
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sisi sote ni ndugu mkuu,
Basi sawa mkuu ukumbuke Christians tunahimizwa upendo Wetu kujengwa katika matendo ...tukaambiwa mtendee mtu jambo ambalo naww unapenda kutendewa ..hii inaonyesha upendo haina ya ndugu ,rafiki nilazima ujengwe ktk Matendo .

So make sure undugu wetu unakua in needs and in deeds !!. Nadhani hii itaongeza nguvu ya kuaminiana napia nafasi ya kusaidiana zaidi nazaidi .

Leo nmeamua nikuchane laivu laivu mkuu ,, nikweli ID fakes ila we shud be really katika masuala muhimu yenye kunufaisha pande zote !!.
 
naomba unitafutie mchumba
 
[emoji120] [emoji120]
 
Sina ningejipendelea kujiweka juu. Ila unavyopapenda MMU siku hizi tegemea kumpata.

Eeeeeh kweli napenda unavyojiweka..

Humu MMU huwa nachungulia na kusepa pia.. na kwa kuwa humu miaka yote hii unajua lazima waliojaribu wamejaribu na bado wanajaribu kama kawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…