Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

Kwa hiyo umri unaenda mtu anajikuta anachitchat humu na hakuna alilolifanya ndiyo mashamsham yanapungua?

Au mimi mleta uzi niache kuwaza mapenzi umri unaenda mkuu?

Btw, nimekupa like.
Mapenzi hayana umri, huyu atakuwa ni hohehahe hakika.

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Upendo wangu hautakoma jirani yangu kipenzi hawajui tumetoka wapi. Nakupenda Sana jirani yangu
 
Upendo wangu hautakoma jirani yangu kipenzi hawajui tumetoka wapi. Nakupenda Sana jirani yangu
Nakupenda pia jirani yangu, Mungu akuweke miaka Mia moja ujirani wetu udumu milele.

Na vipi kuhusu yule shemeji yako hunter mbona simuoni tena akija kunitembelea?
Au ndio mbuzi kakata kamba?
 
Nakupenda pia jirani yangu, Mungu akuweke miaka Mia moja ujirani wetu udumu milele.

Na vipi kuhusu yule shemeji yako hunter mbona simuoni tena akija kunitembelea?
Au ndio mbuzi kakata kamba?
Ukikuta kakata kamba uje nikupe nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…