contagious
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 528
- 344
Mapenzi hayana umri, huyu atakuwa ni hohehahe hakika.Kwa hiyo umri unaenda mtu anajikuta anachitchat humu na hakuna alilolifanya ndiyo mashamsham yanapungua?
Au mimi mleta uzi niache kuwaza mapenzi umri unaenda mkuu?
Btw, nimekupa like.
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app