Tatizo wanamajina magumu sana yanatia ukakasi vidoleni hayaandikiki kabisa ngoja niendelee kuwakumbuka taratibu.Mmmhhh
Una majirani na mabebi kibao hali haiwezi kuwa mbaya
Nleterewa Nganengo unamjua? Hili jina ni gumu sana, Thad alinifundisha kuliandika ila kutamka siliweziTatizo wanamajina magumu sana yanatia ukakasi vidoleni hayaandikiki kabisa ngoja niendelee kuwakumbuka taratibu.
Ila wamejua kunichunia sijui ninanyota ya upepo [emoji57][emoji57]
Maana kila ajaye lazima apeperuke.
Moja ya watu nilitikea kuwakubali humu na ww upo mzee baba.Mzigo ale mwingine majina mapenzi uniite mm...sitaki hayo mambo
[emoji2][emoji2]nitafutie bas
AhahahaaaaaaNleterewa Nganengo unamjua? Hili jina ni gumu sana, Thad alinifundisha kuliandika ila kutamka siliwezi
Ukitaka uwe na nyota ya kukubaliwa nikubali mimi utaona wale wote wanarudi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ahahahaaaaaa
Mwamba ngozi wewe
Kwaheri [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji38]Aseeh kabisa ukishangaa unashangazwa vibaya.
Mimi siku hizi mke akinisogelea hata sistuki.
Hizi likes za kimya kimya huwa naziogopa sanaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona unakimbia sasa
Mkuu kuwa na Amani kabisa wala usiwe na shaka lolote.Hizi likes za kimya kimya huwa naziogopa sanaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee mie sina niko single tena single hasaaa,na starajii kuiba mke wa mtu.
Nmeiogopa sana likes ako iko kimya kimya mnooo[emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Mkuu [emoji122][emoji122] nafurah sanaa umeelewa nilichomaanisha.Mkuu kuwa na Amani kabisa wala usiwe na shaka lolote.
1. Like hutolewa pale mtu anapoikubali post yako kama pongezi juu ya hicho ulichokichangia.
2. Pia mara nyingi kwa watu waliozoeana, akiona post ya huyo aliyomzoea humpa like pia.
Kwa hizo hoja hapo juu, nimekupa like kwa kuzingatia hoja namba 1, hoja namba 2 naitumia sana kwa watu niliozoeana nao, hata kama kaweka kaemoji nikipita nikaiona nitampa like.
Poa poa MkuuMkuu [emoji122][emoji122] nafurah sanaa umeelewa nilichomaanisha.
Kula [emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109].
Umenishinda tabia khaah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona unakimbia sasa
Hahahhaaaaa.Umenishinda tabia khaah
Nafanya mazoez ya kumtafuta JoseverestHahahhaaaaa.
Wewe ndio umenishinda, sio kwa kukimbia huko[emoji5] [emoji5]
Usihangaike kiasi hicho kwa sasa baki na mimi akirudi basi utaendelea naye[emoji85] [emoji85]Nafanya mazoez ya kumtafuta Joseverest