Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

Hivi nyie bandugu, kwanini mnanitesa kwa kuwahamu? Ujue nina wiki mbili wodini nimelazwa kwasababu ya kuwamiss kule nyumbani? [emoji18] [emoji18] [emoji18]
Tutakuja Dear, Wacha afya ya shemeji yako iimarike kwanza, hakuwa vizuri kiafya ndio maana nikawa nampetipeti. Soon tutakuja kuwasalimia Dear.
 
Nimekukazia kwenye nini?
Hayo mapenzi ya Thad na Mwifwa tuwaachie wenyewe, wakikubaliana sawa wakikataana sawa pia.
Sisi tuachane nao kabisa.
Huu uchochezi sasa.....hakuna mapenzi baina yetu,nisijemwagiwa asidi hapa bure!
Wakati huo wewe utakuwa busy kumpetipet baby wako[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…