Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Hivi nyie bandugu, kwanini mnanitesa kwa kuwahamu? Ujue nina wiki mbili wodini nimelazwa kwasababu ya kuwamiss kule nyumbani? [emoji18] [emoji18] [emoji18]MMMH
Aiseeh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi nyie bandugu, kwanini mnanitesa kwa kuwahamu? Ujue nina wiki mbili wodini nimelazwa kwasababu ya kuwamiss kule nyumbani? [emoji18] [emoji18] [emoji18]MMMH
Aiseeh
Japo kila ninaposhindana lazima nishinde.....ila katika hili sitaki kushindana! [emoji12] [emoji12] [emoji12]Embu jitahidi waweza shika namba moja ujue
Tutakuja Dear, Wacha afya ya shemeji yako iimarike kwanza, hakuwa vizuri kiafya ndio maana nikawa nampetipeti. Soon tutakuja kuwasalimia Dear.Hivi nyie bandugu, kwanini mnanitesa kwa kuwahamu? Ujue nina wiki mbili wodini nimelazwa kwasababu ya kuwamiss kule nyumbani? [emoji18] [emoji18] [emoji18]
AhahahaaaaaaJapo kila ninaposhindana lazima nishinde.....ila katika hili sitaki kushindana! [emoji12] [emoji12] [emoji12]
YEAH KUMBE NDIO MAANA UNANIKAZIABaby unatatizo?
NIKO NA Neybright TU SHEMShem, nitajie couple yako.....sitakusemea kwa shost
siri za chumbani hizooooooooooooooShem, hivi wewe na shost yangu mmetajana hapa? Au mnapishana kama magari mabovu ili msiharibiane [emoji12] [emoji12] [emoji12]
teh teh tehHapo umenikonga moyo! Sasa naweza kupumzika kwa amani
Poleni kwa kuugua na kuuguza! Tufafurahi kuwaona nyumbani tenaTutakuja Dear, Wacha afya ya shemeji yako iimarike kwanza, hakuwa vizuri kiafya ndio maana nikawa nampetipeti. Soon tutakuja kuwasalimia Dear.
Aiseeh ni poa kabisa jombaa..Hahaha, mwanampotevu.
Kwema chaliakee!
Nimekukazia kwenye nini?YEAH KUMBE NDIO MAANA UNANIKAZIA
usiugue shemelaaaHivi nyie bandugu, kwanini mnanitesa kwa kuwahamu? Ujue nina wiki mbili wodini nimelazwa kwasababu ya kuwamiss kule nyumbani? [emoji18] [emoji18] [emoji18]
tangu nipotee na kurudi kwa muda hutaki kuongea na mimi kwenye simu, tunachat tu JFNimekukazia kwenye nini?
Hayo mapenzi ya Thad na Mwifwa tuwaachie wenyewe, wakikubaliana sawa wakikataana sawa pia.
Sisi tuachane nao kabisa.
Huu uchochezi sasa.....hakuna mapenzi baina yetu,nisijemwagiwa asidi hapa bure!Nimekukazia kwenye nini?
Hayo mapenzi ya Thad na Mwifwa tuwaachie wenyewe, wakikubaliana sawa wakikataana sawa pia.
Sisi tuachane nao kabisa.
Ohoooo! Kumbe mmenuniana? Shem ngoja nije pm tuyajenge [emoji12] [emoji12] [emoji12]tangu nipotee na kurudi kwa muda hutaki kuongea na mimi kwenye simu, tunachat tu JF
like serious???Ohoooo! Kumbe mmenuniana? Shem ngoja nije pm tuyajenge [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ahahahaaaaaa baby bwana mambo ya chumbani unayaleta kibarazani. Sasa hapa Thad anafurahia Sana kuskia hatuongeitangu nipotee na kurudi kwa muda hutaki kuongea na mimi kwenye simu, tunachat tu JF
Embu acha uwoga pambana kikeHuu uchochezi sasa.....hakuna mapenzi baina yetu,nisijemwagiwa asidi hapa bure!
Wakati huo wewe utakuwa busy kumpetipet baby wako[emoji12] [emoji12] [emoji12]
AhahahaaaaaaOhoooo! Kumbe mmenuniana? Shem ngoja nije pm tuyajenge [emoji12] [emoji12] [emoji12]