Sina.Mwifwa wa kwako nani? Ninong'oneze tafadhali....
Haya mwanafunzi wangu kipenzi Thad umeambiwa unitafutie kopo nianze kula bata hapa[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]Mhhhhh jamani pole sana aiseeh, basi utakuwa unanyota ya umaskini duuh.
Ila jitahidi utapata tuu embu mfatilie Thad pia aweza kukuonea huruma.
Unanicheka badala ya kunisaidia kupata kopo[emoji5] [emoji5] [emoji5]HAHHAHA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hivi hizo copo mnapewaga hadi hela za matumizi wenzetu au tu ndo wapenzi hewa?
Akikubali nishtue[emoji4] [emoji4]Embu ungana na Mwifwa muwe mwili mmoja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa Mwifwa nitakuwa wa 201, maana nasikia mpaka sasa anao 200 [emoji12] [emoji12] [emoji12]
SawaAkikubali nishtue[emoji4] [emoji4]
Nilikuambia unikubalie ukakataa, bora Thad amekuja naweza kubahatisha[emoji85] [emoji85]Nimekukazia kwenye nini?
Hayo mapenzi ya Thad na Mwifwa tuwaachie wenyewe, wakikubaliana sawa wakikataana sawa pia.
Sisi tuachane nao kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lol! Sio kwa hiyo takwimu bila data!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huu uchochezi sasa.....hakuna mapenzi baina yetu,nisijemwagiwa asidi hapa bure!
Wakati huo wewe utakuwa busy kumpetipet baby wako[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Endelea kuwaangalia tu hivyo hivyo mkwe.Mkwe kabla hujanilaani ngoja nimalizie
Pili kwenye hiyo list ya wazee iliotaja kuna wawili siwaelewi vimaneno maneno wanavyomuandikia Heaven mimi naangalia tu
HayaSawa
Ngoja arudi
We mswahili kwani unataka kunioa mimi? Huishi visingizio kila siku una jipya!! Kilichobaki ni kukuroga tu.
Endelea kuwaangalia tu hivyo hivyo mkwe.
Ndio suluhu pekee ilobaki mkwe, ulozi ndio dawa yako. Au tukuache uisome namba tu, maana hauna adabu.mkwe nisipokutania wewe
niende kwa nani?!
ila hilo kuniloga limeniingia kweli
na vile navyokupiga chenga
Mimi ni mkurya mwenye asili ya Taliban.unasahau kwamba mimi ni mkurya mwenye asili ya somalia
MKUU USINAMBIE UPO NA ThadNilikuambia unikubalie ukakataa, bora Thad amekuja naweza kubahatisha[emoji85] [emoji85]
Mimi ni mkurya mwenye asili ya Taliban.