Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

Mhhhhh jamani pole sana aiseeh, basi utakuwa unanyota ya umaskini duuh.
Ila jitahidi utapata tuu embu mfatilie Thad pia aweza kukuonea huruma.
Haya mwanafunzi wangu kipenzi Thad umeambiwa unitafutie kopo nianze kula bata hapa[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]
Fanya haraka maana kesho ni shule ili ujiandae mapema
 
Huu uchochezi sasa.....hakuna mapenzi baina yetu,nisijemwagiwa asidi hapa bure!
Wakati huo wewe utakuwa busy kumpetipet baby wako[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe unakumbuka ile siku uliyonitia hasara kwa kumwaga reagents eehh[emoji23] [emoji23]
 
We mswahili kwani unataka kunioa mimi? Huishi visingizio kila siku una jipya!! Kilichobaki ni kukuroga tu.

mkwe nisipokutania wewe
niende kwa nani?!

ila hilo kuniloga limeniingia kweli
na vile navyokupiga chenga
 
mkwe nisipokutania wewe
niende kwa nani?!

ila hilo kuniloga limeniingia kweli
na vile navyokupiga chenga
Ndio suluhu pekee ilobaki mkwe, ulozi ndio dawa yako. Au tukuache uisome namba tu, maana hauna adabu.
 
Back
Top Bottom