Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
Team work ilimshinda Nyerere utaiweza wewe?Siwez kupambana mwenyewe lazima nipate team work ndio nipambane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Team work ilimshinda Nyerere utaiweza wewe?Siwez kupambana mwenyewe lazima nipate team work ndio nipambane
Kutoka mkoaniNa mimi nimekuchoka, ndio maana nimekuhama! [emoji12] [emoji12]
Nijibu kwanza ulihamia kutoka wapi?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] punguza roho mbaya basiSikushtui maana utaniharibia mtego
Ungejua jinsi ninavyokabidhi moyo wangu kwake hadi naazima wa kusukuma damu usingeuliza hivyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] kuwa mwl.sio issue, issue ni je,ungeweza kumbebisha kama anavyobebishwa na Joseverest?
Wewe jifariji tu ukikuta uko mikononi mwa mtego shauri yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] endelea kusubiri mpaka 2025, tukianza awamu mpya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji15] [emoji15] [emoji15] punguza roho mbaya basi
Naiweza sana tu tena ya kiwango cha reli ya umemeTeam work ilimshinda Nyerere utaiweza wewe?
Aisee kwahiyo wewe moyo wako unasukuma mapenzi tu, kusukuma damu unaomba moyo wa jirani....Ungejua jinsi ninavyokabidhi moyo wangu kwake hadi naazima wa kusukuma damu usingeuliza hivyo
Isijekuwa tumetoka mkoa mmoja...maana hilo jina linashabihiana kabisa na jina na ukoo wangu [emoji40] [emoji40] [emoji40]Kutoka mkoani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee kwahiyo wewe moyo wako unasukuma mapenzi tu, kusukuma damu unaomba moyo wa jirani....
Neybright mama ulipishana na gari la mshahara my dear! [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Umetoka kanda ipi? Usitaje mkoaIsijekuwa tumetoka mkoa mmoja...maana hilo jina linashabihiana kabisa na jina na ukoo wangu [emoji40] [emoji40] [emoji40]
[emoji39] [emoji39] [emoji39][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeona eehh
[emoji39] [emoji85] [emoji39] [emoji85] [emoji39] [emoji39][emoji39] [emoji39] [emoji39]
Juu k....Umetoka kanda ipi? Usitaje mkoa
Mimi ni kanda nyingineJuu k....
Basi sawaMimi ni kanda nyingine
SawaBasi sawa
Unajua nilikuwa natania tuu. Hata wewe unanitania ....Andaa hela yako ya mazishi kabisa.
[emoji39] [emoji85] [emoji39] [emoji85] [emoji39] [emoji39]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaha lol!