Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

Ungejua jinsi ninavyokabidhi moyo wangu kwake hadi naazima wa kusukuma damu usingeuliza hivyo
Aisee kwahiyo wewe moyo wako unasukuma mapenzi tu, kusukuma damu unaomba moyo wa jirani....
Neybright mama ulipishana na gari la mshahara my dear! [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeona eehh
 
Back
Top Bottom