Mbona Dar kila mwanamke mzuri?

I wish nami nifike huko Daslamu hata nikae wiki moja tu...
inshaAllah one day yes.
 
Ebu panda gari kuanzia arusha pita karatu,ingia mbulu, njoo babati pita kondoa ukitoka kondoa njoo kiteto afu utanambia dadeki hawatumii vipodozi
 
Job yrue true...ila sii kweli nisemayo au wee huja experience hilo?
Halaf we mwamba unajitoa ufaham ukute kumbe ni afisa mwenye cheo na familia kabisa,si ajabu mpk wajukuu ukawa naoπŸ˜‚ na km haitoshi ni afisa kutoka lile jengo lililokaa kama mweweπŸ˜‚
 
Halaf we mwamba unajitoa ufaham ukute kumbe ni afisa mwenye cheo na familia kabisa,si ajabu mpk wajukuu ukawa naoπŸ˜‚ na km haitoshi ni afisa kutoka lile jengo lililokaa kama mweweπŸ˜‚
litutumbwe upo sahihi mie nina cheo kikubwa sana kwanza hadi PA ninae ila napenda kuonfoa stress za kazi na maisha hapa jf.
Litutumbwe maana yake nini
 
Hata mwezi mwisho siku hizi Kuna watoto wazuri sana, siku nikihamia dar nitawatembezea ukuni sana tu, kama mond.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…