Mbona Dar kila mwanamke mzuri?

Mshamba hachekwi
 
Asilimia kubwa uliokutana nao hapo ni wanafunzi wa vyuo vikuu.
 
Toka hapo Mlimani city nenda huko Tandika,Tandale uwanja wa fisi,Mbagala ndani ndani huko,

Kisha njoo uedit uzi wako.
huko ndani ndani pia balaa bwana. mm nimeokota moja vikindu wakati natoka kijijini arumeru naingia daslama..mtoto alikua kama kachongwa kiuno hapo ndio ana maisha magumu mtoto muzuri balaa. nilikua naila huku nasikitika kichwa kwa utamu
 
Wallah tutabanana hapahapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…