Mbona Dar kila mwanamke mzuri?

Mbona Dar kila mwanamke mzuri?

Kila la kheri,
1719556839450.jpg
 
Duuh! Wakuu ndio maana mnang'ang'ania kuishi Dar nimefika kwa mara ya kwanza juzi leo nipo kituoni hapa mlimani city kila mwananmke anayepita mzuri.

Najiuliza watu wa Dar wanawezaje kuishi huu mji maana ni hatari, mpaka dakika hii sijaona mwanamke mbaya wote ni moto wa kuotea mbali.

Haki ya nani na mimi sihami.
Reject ya Dar kwenu Kusini ni Brand New,utazoea tu
 
Back
Top Bottom