Mbona Dar kila mwanamke mzuri?

Mbona Dar kila mwanamke mzuri?

Duuh! Wakuu ndio maana mnang'ang'ania kuishi Dar nimefika kwa mara ya kwanza juzi leo nipo kituoni hapa mlimani city kila mwananmke anayepita mzuri.

Najiuliza watu wa Dar wanawezaje kuishi huu mji maana ni hatari, mpaka dakika hii sijaona mwanamke mbaya wote ni moto wa kuotea mbali.

Haki ya nani na mimi sihami.
Karibu Sana Mkuu... Ila Dar sio kuzuri saana.... Hivyo Linda Rinda Lako...
 
Tatizo la wanawake wazuri bwana ukishamkojole mara tatu tuu...ghafla unaona tako lake la kushoto limepinda.🤣🤣🤣🤣

Hivi na nyie wanawake mkishagegeduana na sie mara tatu uhandsome wetu unabadili kuwa sura ya mbuzi? Nauliza tuu rafiki yangu Mideko na @ kelsea
 
Duuh! Wakuu ndio maana mnang'ang'ania kuishi Dar nimefika kwa mara ya kwanza juzi leo nipo kituoni hapa mlimani city kila mwananmke anayepita mzuri.

Najiuliza watu wa Dar wanawezaje kuishi huu mji maana ni hatari, mpaka dakika hii sijaona mwanamke mbaya wote ni moto wa kuotea mbali.

Haki ya nani na mimi sihami.
hela za korosho matopeni
 
Usijichanganye lakini
 
Tembea kidogo. Njoo Arusha
Arusha ya kawaida sana.. Pisi za kawaida mnoo..

Dsm aisee kuna ukanda wa kuanzia Ubungo sogea Mcity mpaka Mwenge.. alafu shuka na ITV, Bamaga mpk Makumbusho.. rudi Sinza.

Huo ukanda achana nao... kuna stendi mbili MWENGE na MAKUMBUSHO kama una shingo ndefu unaweza izungusha 360°.. Dar kuna Pisi Tz nzima inakusanyika hapo.
 
Back
Top Bottom