Mbona Dar kila mwanamke mzuri?

Mbona Dar kila mwanamke mzuri?

Dar hatari sana naupa namba 1 .Toto kali kila kona.Huku nilipo hamma kitu , unakuta mtoto mzuri mzuri ila miguu imepauka,mengine meusii yanaongezea na mavilemba juu .Shenzi taipu.
 
Duuh! Wakuu ndio maana mnang'ang'ania kuishi Dar nimefika kwa mara ya kwanza juzi leo nipo kituoni hapa mlimani city kila mwananmke anayepita mzuri.

Najiuliza watu wa Dar wanawezaje kuishi huu mji maana ni hatari, mpaka dakika hii sijaona mwanamke mbaya wote ni moto wa kuotea mbali.

Haki ya nani na mimi sihami.
Hapo bado hujasimama nyuma ya msambwanda au kusuguliwa na K kwenye bega ukiwa umekaa siti ya pembeni kwenye daladala iliyojaa lazima mnara usome 5G
 
Duuh! Wakuu ndio maana mnang'ang'ania kuishi Dar nimefika kwa mara ya kwanza juzi leo nipo kituoni hapa mlimani city kila mwananmke anayepita mzuri.

Najiuliza watu wa Dar wanawezaje kuishi huu mji maana ni hatari, mpaka dakika hii sijaona mwanamke mbaya wote ni moto wa kuotea mbali.

Haki ya nani na mimi sihami.
Magaidi hao sasa wewe jichanganye..Utarudi Newala kwenu ukiwa mwehu
 
Duuh! Wakuu ndio maana mnang'ang'ania kuishi Dar nimefika kwa mara ya kwanza juzi leo nipo kituoni hapa mlimani city kila mwananmke anayepita mzuri.

Najiuliza watu wa Dar wanawezaje kuishi huu mji maana ni hatari, mpaka dakika hii sijaona mwanamke mbaya wote ni moto wa kuotea mbali.

Haki ya nani na mimi sihami.
Hao wote ni wa bandia sema ushamba ukiku
Wazuri bado hawajazaliwa utawazaa wewe, (the beautiful ones are not yet born)
Uliowaona siyo og,mila kitu hapo no mchina.Hata mbususu sao siyo og.Mwarabu anawafantusha potapot
 
Back
Top Bottom