Mbona Diamond amekonda na kupoteza nuru kwa haraka hivi?

Inategemea umemuona akiwa wapi, instagram isiwapoteze sana....pia picha za kushtukizwa si sawa na zile zenye maandalizi.
 
Halo makeup hana. Mambo ya mapoda na foundation sana miss hapa. Kwani ni lini Diamond alinenepa? Yuko hivyo siku zote sema kinachokosekana ni mapoda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…