Mbona Diamond amekonda na kupoteza nuru kwa haraka hivi?

Mbona Diamond amekonda na kupoteza nuru kwa haraka hivi?

Kama week kadhaa nilimkuta na Dude jeusi Mbezi kwa Zena kwenye Misosi mida ya jioni aisee Domo kaiva harafu mbishi sana.
 
Dogo anafurahisha akitaka kucheka lazima kwanza ayavute mashavu yake alafu atoe meno nje kama sekunde tano alafu ndio anatoa sauti ya kucheka!!! bangi sio mchezo....
 
Hivi ukifuatiia maisha ya babaaako na ndugu zako utakuwa umechangia makubwa kwa familia yako
.
.
 
Aliyeturoga waafrika kuwa unene au kuwa na nyamanyama sana ni afya bora alitumaliza.......MTU mwembamba haimaanishi hana afya.....ujinga n mbaya sana ....
 
"Gonjwa hili limezua kizaazaa mzozo gumzo, kwa mabradha, masista duu, machizi, waalimu na wanafunzi gonjwa hili lapita kasheshe ni kazeze...."

Wasanii wa siku hizi hawaimbi kabisa nyimbo za magonjwa magonjwa, ni kusifu ngono na pombe tu. teh teh
Wao ni Bata tu.
 
Nimeangalia interview za hivi karibuni za simba sio siri jamaa kafubaa sana na afya Inaonekana kuzorota kwa kasi saana. Amepungua sana mwili.

Diamond hadi anataka kufanana na ferooz siku hizi!? Kabaki kichwa tu wakati ndio yuko kwenye peak yake ya kimuziki? Kuna kitu hakiko sawa. Washauri wake wamwambie akafanye medical check up kuna kitu hakiko sawa. Diamond anaramba lips zake lakini bado zinabaki na mpauko? Macho yamedumbukia ndani kama karunguyeye anachungulia toka kwenye kichuguu?

Mungu amsaidie simba asiwe na tatizo lolote. Coz Tuna simba wawili tu bongo Simba sports na Simba Chibu. Na hatujajiandaa kumpoteza yeyote kati yao this soon.

Povu ruksa!

Screenshot_2019-06-07-01-28-33.jpg
Screenshot_2019-06-07-01-28-59.jpg
 
jamaa bila shaka anapenda kavu, ila siombei iwe hivyo!
Watoto wa mbagala ndio zao wanapenda sana dry fry. Lakini kiafrika ugonjwa wetu sio kisukari wala kansa. Ili hatuombei simba awe ameungwa kwenye gridi ya taifa.
 
Wanasema alikua kwenye mfungo wa ramadhani ati?
 
Nimeangalia interview za hivi karibuni za simba sio siri jamaa kafubaa sana na afya Inaonekana kuzorota kwa kasi saana. Amepungua sana mwili.

Diamond hadi anataka kufanana na ferooz siku hizi!? Kabaki kichwa tu wakati ndio yuko kwenye peak yake ya kimuziki? Kuna kitu hakiko sawa. Washauri wake wamwambie akafanye medical check up kuna kitu hakiko sawa. Diamond anaramba lips zake lakini bado zinabaki na mpauko? Macho yamedumbukia ndani kama karunguyeye anachungulia toka kwenye kichuguu?

Mungu amsaidie simba asiwe na tatizo lolote. Coz Tuna simba wawili tu bongo Simba sports na Simba Chibu. Na hatujajiandaa kumpoteza yeyote kati yao this soon.

Povu ruksa!

View attachment 1120274View attachment 1120275
Physical and Mental fatigue. All he needs is a complete rest and detachment from normal chores.
 
Back
Top Bottom