kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,117
Kama week kadhaa nilimkuta na Dude jeusi Mbezi kwa Zena kwenye Misosi mida ya jioni aisee Domo kaiva harafu mbishi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajawahi kuwa mnene...na hiyo ndo rangi yake halisi bila make up za video na akinyoa rasta ndo mamamamamaaa...
Kaiva kivipi mkuuKama week kadhaa nilimkuta na Dude jeusi Mbezi kwa Zena kwenye Misosi mida ya jioni aisee Domo kaiva harafu mbishi sana.
Kaiva kivipi mkuu
Wao ni Bata tu."Gonjwa hili limezua kizaazaa mzozo gumzo, kwa mabradha, masista duu, machizi, waalimu na wanafunzi gonjwa hili lapita kasheshe ni kazeze...."
Wasanii wa siku hizi hawaimbi kabisa nyimbo za magonjwa magonjwa, ni kusifu ngono na pombe tu. teh teh
Hustlers wote sisi mida yao ya kulala ni saa sita usiku na kuamka ni saa 10 usiku.Aiseeee hulali
Watoto wa mbagala ndio zao wanapenda sana dry fry. Lakini kiafrika ugonjwa wetu sio kisukari wala kansa. Ili hatuombei simba awe ameungwa kwenye gridi ya taifa.jamaa bila shaka anapenda kavu, ila siombei iwe hivyo!
bashite enzi hizo alikuwa flat screen[emoji23] [emoji23]
Physical and Mental fatigue. All he needs is a complete rest and detachment from normal chores.Nimeangalia interview za hivi karibuni za simba sio siri jamaa kafubaa sana na afya Inaonekana kuzorota kwa kasi saana. Amepungua sana mwili.
Diamond hadi anataka kufanana na ferooz siku hizi!? Kabaki kichwa tu wakati ndio yuko kwenye peak yake ya kimuziki? Kuna kitu hakiko sawa. Washauri wake wamwambie akafanye medical check up kuna kitu hakiko sawa. Diamond anaramba lips zake lakini bado zinabaki na mpauko? Macho yamedumbukia ndani kama karunguyeye anachungulia toka kwenye kichuguu?
Mungu amsaidie simba asiwe na tatizo lolote. Coz Tuna simba wawili tu bongo Simba sports na Simba Chibu. Na hatujajiandaa kumpoteza yeyote kati yao this soon.
Povu ruksa!
View attachment 1120274View attachment 1120275