The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Yani unakuta mmatumbi kitaa ukifululiza kula nyama kila siku wee Freemason Dogo akifaulu la saba ni FreemasonUmefikiria kwa kina sana mkuu.
hapo kwenye dogo kafaulu la saba anahusishwa freemason umemaanisha mkuu?Yani unakuta mmatumbi kitaa ukifululiza kula nyama kila siku wee Freemason Dogo akifaulu la saba ni Freemason
Yani unakuta mmatumbi kitaa ukifululiza kula nyama kila siku wee Freemason Dogo akifaulu la saba ni Freemason
Yaani hii nimeshuhudia kabisa hawakutarajia Dogo atafaulu la saba. Na alipofaulu wakadai ni Freemason yani nlichoka. Ni kisa cha ukweli kabisa Mbauda Arushahapo kwenye dogo kafaulu la saba anahusishwa freemason umemaanisha mkuu?
Freemason Haina upuuzi kama huu tunaoambiwa Africa, ile Ni taasisi ya siri imara sana na Kongwe
Labda Mohammed Said hadi aliletaga uzi humu kumsifu jamaa na kuelezea jinsi walivyo kuwa MarafikiWajenzi huru.
Hivi baada ya Andy Chande kufariki mikoba nani kaishika ?
Halafu kwa hapa Tanzania wajenzi huru maarufu ni kina nani so far.!?
Hamna yeyote anae ijua Freemason,HAKUNA. Freemason ni secret society,Ukishaelewa maana ya neno SECRET ndio utakubaliana namm kuwa HAKUNA yeyote ataeweza kuja hapa kusema lolote wala chochote.
everything will remain as a secret. Kanuni na vigezo kuzingatiwa.
Mkuu toka umefahamu ukristo na uislam ni fake, upande gani wa dini nyingine upo kwa sasa?Na hao ndio wanajua Mungu/Nguvu kuu ya dunia hii kwa uhalisia wake...sisi wanasukumizia ukristo na uislam sababu wanajua ni dini feki.
Nasikia mzee wa lupaso alikaimuWajenzi huru.
Hivi baada ya Andy Chande kufariki mikoba nani kaishika ?
Halafu kwa hapa Tanzania wajenzi huru maarufu ni kina nani so far.!?
Yupi huyo mkuu.!?...mzee wa malofa sio ?!Nasikia mzee wa lupaso alikaimu
Nimekuelewa kaka.Kufanya mema yanayoendena na asili/nature na mazingira yanayonizunguka ndio dini yangu mkuu.
NB: ninaamini kuna Mungu/Nguvu Kuu inayo endesha dunia hii.