IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,743
- 8,187
Am humbled.
nimekuelewa kaka.
nimekuelewa kaka.
Wanatoa pia sema za kisanyansi zaidi kama Sept 11.Mzuka wanajamvi!
Hatujawahi kusikia watoto au ndugu wa Bill Gates, Jeff Bezos, Mak zugeberg na wengine matajiri ulaya wakipoteza maisha kizembezembe...
Huyohuyo.Yupi huyo mkuu.!?...mzee wa malofa sio ?!
Wanatoa pia sema za kisanyansi zaidi kama Sept 11.
Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
Bwana Mkapa au sio?Nasikia mzee wa lupaso alikaimu
[emoji3][emoji3] Uzi utafutwa huuBwana Mkapa au sio?
Kwa hiyo hao uliowatana ndo wako Freemason?Mzuka wanajamvi!
Hatujawahi kusikia watoto au ndugu wa Bill Gates, Jeff Bezos, Mak zugeberg na wengine matajiri ulaya wakipoteza maisha kizembezembe...
you know nothing...Mzuka wanajamvi!
Hatujawahi kusikia watoto au ndugu wa Bill Gates, Jeff Bezos, Mak zugeberg na wengine matajiri ulaya wakipoteza maisha kizembezembe...
Our hands are closed..... alwaysHamna yeyote anae ijua Freemason,HAKUNA. Freemason ni secret society,Ukishaelewa maana ya neno SECRET ndio utakubaliana namm kuwa HAKUNA yeyote ataeweza kuja hapa kusema lolote wala chochote.
everything will remain as a secret. Kanuni na vigezo kuzingatiwa.
Post yako imenifanya niamini kuwa WATU WANAOFIKIRIA VIZURI KUMBE BADO WAPO..umewaza Sana mkuuNa hao ndio wanajua Mungu/Nguvu kuu ya dunia hii kwa uhalisia wake...sisi wanasukumizia ukristo na uislam sababu wanajua ni dini feki.
Sijaulizwa mimi lkn naomba nijibu Kama ifuatavyo.mkuu toka umefahamu ukristo na uislam ni fake, upande gani wa dini nyingine upo kwa sasa?
Mwenye masikio na asikie,mwenye macho na aone..asante sana,thanks very much.Sijaulizwa mimi lkn naomba nijibu Kama ifuatavyo.
There is the SUPERNATURAL POWER..IT IS (not HE IS..)..IT IS RESPONSIBLE FOR LIFE AND EXISTENCE...
Mzuka wanajamvi!
Hatujawahi kusikia watoto au ndugu wa Bill Gates, Jeff Bezos, Mak zugeberg na wengine matajiri ulaya wakipoteza maisha kizembezembe...
Namimi naamini Ivo...jamaa nguvu yake ilikua ni kubwa Sana kiushawishi hata baada ya kustaafuNasikia mzee wa lupaso alikaimu
Naye alitoaga kichiz mv bukoba na ajali ya treni. Huyu tunaye freemason wamekataa anacheza na masangomaNamimi naamini Ivo...jamaa nguvu yake ilikua ni kubwa Sana kiushawishi hata baada ya kustaafu
Mm najua ofisi zao tu pale postaWajenzi huru.
Hivi baada ya Andy Chande kufariki mikoba nani kaishika ?
Halafu kwa hapa Tanzania wajenzi huru maarufu ni kina nani so far.!?
..ahahahaaaa huyu sio smart upstairs... wajenzi huru wanataka watu wenye akili kichwani.Naye alitoaga kichiz mv bukoba na ajali ya treni. Huyu tunaye freemason wamekataa anacheza na masangoma
Mkuu nkitulia ntarudiWajenzi huru.
Hivi baada ya Andy Chande kufariki mikoba nani kaishika ?
Halafu kwa hapa Tanzania wajenzi huru maarufu ni kina nani so far.!?