MBONA GALAXY A SERIES ZOTE FB NI 250K?

MBONA GALAXY A SERIES ZOTE FB NI 250K?

MOst wao ni matepeli mkuu, unakuta A55 inauzwa 250k kwa box, ukimcheki atakupa namba uende kariakoo, ukifika atajifanya ametoka ngoja akuunganishe na dogo wa stoo, watakuweka barabarani ukiwasubiri iliwakusome kama washawahi kukutapeli, kama sivyo basi atafika hapo na mtaanza safari ya kuenda kutapeliwa, yule uliewasiliana naye atakwambia kwenye hio.hela usimpe dogo 3ok au 20k ganji lake maana hamuani ,hii mbaya sana kwako sababu anakufanya umuamini yeye sana na ww utaitoa , kisha huyu jamaa yake aliokupokea atakuweka mahala na kukwambia msubiri hapo nipe hela shika simu yangu hii kama huniamini ili akavhukue simu stoo, kaka simu atakayokupa thamani yake haifiki hata robo ya hi0 230k utakayo mpa.
Chamsingi jua hakuna mteremko wala bei ya stoo ya simu . 😂
Screenshot_20241215_132855_Facebook.jpg
 
MOst wao ni matepeli mkuu, unakuta A55 inauzwa 250k kwa box, ukimcheki atakupa namba uende kariakoo, ukifika atajifanya ametoka ngoja akuunganishe na dogo wa stoo, watakuweka barabarani ukiwasubiri iliwakusome kama washawahi kukutapeli, kama sivyo basi atafika hapo na mtaanza safari ya kuenda kutapeliwa, yule uliewasiliana naye atakwambia kwenye hio.hela usimpe dogo 3ok au 20k ganji lake maana hamuani ,hii mbaya sana kwako sababu anakufanya umuamini yeye sana na ww utaitoa , kisha huyu jamaa yake aliokupokea atakuweka mahala na kukwambia msubiri hapo nipe hela shika simu yangu hii kama huniamini ili akavhukue simu stoo, kaka simu atakayokupa thamani yake haifiki hata robo ya hi0 230k utakayo mpa.
Chamsingi jua hakuna mteremko wala bei ya stoo ya simu . 😂View attachment 3177172
Aisee kumbe utapeli shukran sana KAKA maana nilikuwa nakaribia kujaa kwenye mfumo....
 
Wakuu msaada izi simu za galaxy a series za fb ni OG kweli?
Mbona bei zinafanana?
Na ipi bora kwenye A series?
Inaweza kuwa OG ama sio OG cha muhimu kwenye kununua simu mpya za Samsung
1. Nenda dukani Physical
2. Chukua Imei ya simu ukiwa Dukani Sajili Warranty ya Samsung hapa

Kama ni Genuine na inafaa kuuzwa Africa itakubali, ila refurb, simu used, fake etc hazitakubali.

Kwa A series kuna A55, A35, A25, A15 na A05, A55 ikiwa kubwa na A05 ikiwa ndogo hizo ndio model mpya, model za zamani zinapungua Namba mfano A54, A53 etc na model inaweza kuwa na Varieties mfano A15 4G, A15 5G ama A05 na A05S etc.
 
MOst wao ni matepeli mkuu, unakuta A55 inauzwa 250k kwa box, ukimcheki atakupa namba uende kariakoo, ukifika atajifanya ametoka ngoja akuunganishe na dogo wa stoo, watakuweka barabarani ukiwasubiri iliwakusome kama washawahi kukutapeli, kama sivyo basi atafika hapo na mtaanza safari ya kuenda kutapeliwa, yule uliewasiliana naye atakwambia kwenye hio.hela usimpe dogo 3ok au 20k ganji lake maana hamuani ,hii mbaya sana kwako sababu anakufanya umuamini yeye sana na ww utaitoa , kisha huyu jamaa yake aliokupokea atakuweka mahala na kukwambia msubiri hapo nipe hela shika simu yangu hii kama huniamini ili akavhukue simu stoo, kaka simu atakayokupa thamani yake haifiki hata robo ya hi0 230k utakayo mpa.
Chamsingi jua hakuna mteremko wala bei ya stoo ya simu . 😂View attachment 3177172

Mkuu Mbingu ni yako. Umesaidia wengi
Ingependeza sana Serikali ianzishe Tuzo ya "Raia Mwema Bora wa Mwaka" kwa Mwaka, kila mtaa na tuzo zikagawiwe Dodoma pale.
We need good people like you " Whistle blowers" wa kutosha hapa nchini. Tukiendekeza hizi tabia za hovyo kwa vijana taifa litafel likiwa bado changa na wakati tuna uwezo wa kujifunza kwa waliotutangulia e.g Nigeria, South Africa etc
 
Inaweza kuwa OG ama sio OG cha muhimu kwenye kununua simu mpya za Samsung
1. Nenda dukani Physical
2. Chukua Imei ya simu ukiwa Dukani Sajili Warranty ya Samsung hapa

Kama ni Genuine na inafaa kuuzwa Africa itakubali, ila refurb, simu used, fake etc hazitakubali.

Kwa A series kuna A55, A35, A25, A15 na A05, A55 ikiwa kubwa na A05 ikiwa ndogo hizo ndio model mpya, model za zamani zinapungua Namba mfano A54, A53 etc na model inaweza kuwa na Varieties mfano A15 4G, A15 5G ama A05 na A05S etc.
Kwa bei izo za Facebook za 250k kwa a55 mfano...kwa uzoefu wako ni refub au used?
 
MKUU iyo A15 nikivunja kioo marekebisho ni cheap au kama S series tu?
Ukinunua OG marekebisho ni juu ya Samsung we unalipa hela kidogo hata ikiwa ni S series, watu wanalalamika sababu wananunua refurb.

Kwa A15 ukiharibu kioo na una Samsung care+ (warranty nilioeka juu) utalipa 48,000. Ila warranty ikiisha itabidi kubadili mwenyewe kioo,
 
Wakuu msaada izi simu za galaxy a series za fb ni OG kweli?
Mbona bei zinafanana?
Na ipi bora kwenye A series?
Mpaka leo bado mnatepeliwa kwa mtindo huo, mitano tena kwa Hangaya
 
Sema hizi A series sio simu za kuaminia sana nliwahi kutumia A10s ilipokuwa inatoka aiseee ilinisumbua sana simu inaganda kama tecno tu, ikatoka A12 niliitumia japo hii kidogo kwenye suala la kuganda haikiwa sana, nimetumia A14 ikiwa mpya kabisa aisee finger ilikuwa inatolewa na mtu yoyote
Siziamini tena A series, samsung ni S series na Note series basi
Na ukitaka kuamini hilo angalia mauzo yake utagundua zinauzwa sana afrika na Asia
 
MOst wao ni matepeli mkuu, unakuta A55 inauzwa 250k kwa box, ukimcheki atakupa namba uende kariakoo, ukifika atajifanya ametoka ngoja akuunganishe na dogo wa stoo, watakuweka barabarani ukiwasubiri iliwakusome kama washawahi kukutapeli, kama sivyo basi atafika hapo na mtaanza safari ya kuenda kutapeliwa, yule uliewasiliana naye atakwambia kwenye hio.hela usimpe dogo 3ok au 20k ganji lake maana hamuani ,hii mbaya sana kwako sababu anakufanya umuamini yeye sana na ww utaitoa , kisha huyu jamaa yake aliokupokea atakuweka mahala na kukwambia msubiri hapo nipe hela shika simu yangu hii kama huniamini ili akavhukue simu stoo, kaka simu atakayokupa thamani yake haifiki hata robo ya hi0 230k utakayo mpa.
Chamsingi jua hakuna mteremko wala bei ya stoo ya simu . 😂View attachment 3177172
You are right
 
Kuna brand inaitwa M Horse. Mara nyingi ni hiyo inatangazwa kwa majina ya brands zingine
 
Back
Top Bottom