MBONA GALAXY A SERIES ZOTE FB NI 250K?

MBONA GALAXY A SERIES ZOTE FB NI 250K?

Wakuu msaada izi simu za galaxy a series za fb ni OG kweli?
Mbona bei zinafanana?
Na ipi bora kwenye A series?
copy ni nyingi sana, unapewa risiti na warranty kabisa. Kuna hadi infinix na tecno copy, unabisha njoo kkoo nikuonyeshe
 
Kuna brand inaitwa M Horse. Mara nyingi ni hiyo inatangazwa kwa majina ya brands zingine
Mchina huyo, nilishawahi kununua kipindi cha nyuma nikampa ndugu yangu, alipovunja kioo tu na safari ikaishia hapo.
 
Back
Top Bottom