Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Masisiyemu yameshikwa pabaya sanaNaona ghafla matamko dhidi ya John Heche makamu mwenyekiti wa chama kikubwa nchini, yamekuwa mengi.
Unajua ni kwa nini? Mtambo wa propaganda wa CCM umeishiwa mbinu za kuishambulia CHADEMA.
Alipokuwa Dr. Slaa ana nguvu walisema ni chama cha wakatoliki. Mbowe naye alipowashika pabaya wakasema ni chama cha wachaga.
Sasa ile propaganda ya uchaga na ukatoliki haiwezi kufanya kazi kwa Heche. Heche ni mkurya halafu ni msabato.
Sasa njia pekee ni kuonesha kuwa hata wazee wa kimila wa Tarime hawafurahishwi na Heche. Hii nchi si tulishakubaliana mambo ya ukabila yasiingizwe kwenye siasa zetu?
Inakuwaje wazee hao wa kimila wa Tarime watoe tamko dhidi ya Heche kama vile Heche anawakilisha kabila lao kwenye mambo ya kisiasa.
Aliyewaambia hao wazee wa Tarime kuwa Heche yupo CHADEMA kuwakilisna kabila na koo zao ni nani?
Wanachadema hawakumchagua Heche kwa kuwa ni mtu wa kutoka kwenye kabila ama koo zao. CHADEMA walimchagua Heche afanye hicho anachofanya ambacho wao wanakipinga.
Vijana wa Tarime waelimisheni wazee wenu kuwa wao wana mamlaka na Heche kama mtoto wao lakini si kama kiongozi wa chama cha siasa.
Mbona hawajataja hayo matusi wanayodai Heche anatukana. Halafu wanaposema anatukana viongozi wa kitaifa hawaoni kuwa pia yeye ni kiongozi wa kitaifa?
Sasa wao ujasiri wa kumkemea kiongozi wa kitaifa wameutoa wapi?
Hao wazee wakimila wanadhani tamko la kimila la Wakurya linawahusu pia na wandengereko wanaomuunga mkono Heche?Binafsi hii agenda ninaitazama positive sana,
Nawaona wakimpaisha zaidi Heche mana kwasasa ukiwa adui wa dola ndio unapendwa zaidi na raia
Saa hizi nani yupo shiftπππufisadi ni dhambi ya fedheha sana gentleman ndio maana kila jamii inakemea hiyo nonsense kwa matamko π
Kimsingi wanataka maridhiano, Hawataki yawakilishwe na Heche au Lisu, Na wanaogopa kumtoa Lisu kwa sababu ya presha inayotoka jumuia ya kimataifa, hesabu zao bado wanatafuta uhalali wa kumshikilia Lisu, inafikiriwa kuwa kumpindua Heche CHADEMA ndio njia ya kumuweka mtu atakayewakilisha mawazo yao na maridhiano.Heche anawajambisha.
Usikute kuna Mpumbavu aliwashauri mkimkamata Lissu mkamweka ndani basi shughuli imekwisha na mla mrojo akaupokea huo ushauri.
Ukiona hivyo ujue ni suala la muda kabla ya wazee wa kindengereko nao hawajatoa tamko, baadaye wazee wa kizaramo, Wazee wa kihaya , wa kichaga na n.k GAME PLAN.Hao wazee wakimila wanadhani tamko la kimila la Wakurya linawahusu pia na wandengereko wanaomuunga mkono Heche?
Kati ya viongozi wa cdm wanao ogopwa na ccm basi ni HecheNaona ghafla matamko dhidi ya John Heche makamu mwenyekiti wa chama kikubwa nchini, yamekuwa mengi.
Unajua ni kwa nini? Mtambo wa propaganda wa CCM umeishiwa mbinu za kuishambulia CHADEMA.
Alipokuwa Dr. Slaa ana nguvu walisema ni chama cha wakatoliki. Mbowe naye alipowashika pabaya wakasema ni chama cha wachaga.
Sasa ile propaganda ya uchaga na ukatoliki haiwezi kufanya kazi kwa Heche. Heche ni mkurya halafu ni msabato.
Sasa njia pekee ni kuonesha kuwa hata wazee wa kimila wa Tarime hawafurahishwi na Heche. Hii nchi si tulishakubaliana mambo ya ukabila yasiingizwe kwenye siasa zetu?
Inakuwaje wazee hao wa kimila wa Tarime watoe tamko dhidi ya Heche kama vile Heche anawakilisha kabila lao kwenye mambo ya kisiasa.
Aliyewaambia hao wazee wa Tarime kuwa Heche yupo CHADEMA kuwakilisna kabila na koo zao ni nani?
Wanachadema hawakumchagua Heche kwa kuwa ni mtu wa kutoka kwenye kabila ama koo zao. CHADEMA walimchagua Heche afanye hicho anachofanya ambacho wao wanakipinga.
Vijana wa Tarime waelimisheni wazee wenu kuwa wao wana mamlaka na Heche kama mtoto wao lakini si kama kiongozi wa chama cha siasa.
Mbona hawajataja hayo matusi wanayodai Heche anatukana. Halafu wanaposema anatukana viongozi wa kitaifa hawaoni kuwa pia yeye ni kiongozi wa kitaifa?
Sasa wao ujasiri wa kumkemea kiongozi wa kitaifa wameutoa wapi?
Abdul umemkamata?ufisadi ni dhambi ya fedheha sana gentleman ndio maana kila jamii inakemea hiyo nonsense kwa matamko π
jikite kwenye hoja mahususi mezani bila mihemko gentleman na itapendeza zaidi πAbdul umemkamata?
Nani yupo shift? Halafu yule msomali anayewapangia shift mwambieni afanye mazoezi, unene utamuua!!jikite kwenye hoja mahususi mezani bila mihemko gentleman na itapendeza zaidi π