Pre GE2025 Mbona ghafla mvuto umepotea? Hata wapiga pambio pumzi imekata. Kura ikipigwa leo utaangukia wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,455
Reaction score
73,145
Kuna mwenyekiti mmoja wa chama cha siasa amepoteza mvuto ghafla, lakini kutokana na hulka za siasa zetu haambiwi ukweli bali kwa mafumbo kama walivyo fanya mzee Butiku na mwanasiasa Rostam Aziz.

Je, leo uchaguzi ukiitishwa kura itamuangukia nani kama watasimama hawa?
 
Jee leo uchaguzi ukiitishwa kura itamuangukia nani kama watasimama hawa?
Lissu top in the List
 
Shida upinzani kwenyewe kuna kukurukakara nyingi , na hawa waliopo wanaogopa wakiachia kiti nao watafumuliwa vichogo kwa kifupi kuna kuogopana hapo.
 
Teka Teka,poteza poteza,ua ua!

Hadi wahisani wataaanza kutoa matamko kama ubalozi wa kina Trump,vyombo vya habari bongo haviwezi Fanya spinning ya hayo!

Amepotea kabisa!
 
Lets say amepoteza mvuto,ni mpinzani gani anavutia kupewa mamlaka aongoze dola,mbowe au lipumba??au lisu
 
Non of the above.
"labda kama mambo yataharibika sana" Msoga line
Msoga line is getting us to hell,no money in wall street and the dollar no where trader are not selling,National debt service high and procurement not active and civil servants not motivated,kzmkz in jail cell.
 
Kuna mwenyekiti mmoja wa chama cha siasa amepoteza mvuto ghafla, lakini kutokana na hulka za siasa zetu haambiwi ukweli bali kwa mafumbo kama walivyo fanya mzee Butiku na mwanasiasa Rostam Aziz.

Je, leo uchaguzi ukiitishwa kura itamuangukia nani kama watasimama hawa?
Tutasimama kwenye Nuru( Chadema)
 
Kuna mwenyekiti mmoja wa chama cha siasa amepoteza mvuto ghafla, lakini kutokana na hulka za siasa zetu haambiwi ukweli bali kwa mafumbo kama walivyo fanya mzee Butiku na mwanasiasa Rostam Aziz.

Je, leo uchaguzi ukiitishwa kura itamuangukia nani kama watasimama hawa?
bado mwenyekiti wa chama Taifa atashinda tu na watu wake wa kazi, threat kwenye chama cha si hakuna tena, wameshamaliza kazi . Makamu mwenyekiti Taifa mwenyewe kajaa hofu yupo kimya mpka sasa dah 🐒
 
Teka Teka,poteza poteza,ua ua!

Hadi wahisani wataaanza kutoa matamko kama ubalozi wa kina Trump,vyombo vya habari bongo haviwezi Fanya spinning ya hayo!

Amepotea kabisa!
Vyombo vya habari vimelala. Msemaji wa Rais amelala, idara ya habari maelezo wamelala. Mama atapataje coverage?
 
Back
Top Bottom