CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Mikono yake imejaa damu za watu wasiokuwa na hatia. Karma ipo.Kuna mwenyekiti mmoja wa chama cha siasa amepoteza mvuto ghafla, lakini kutokana na hulka za siasa zetu haambiwi ukweli bali kwa mafumbo kama walivyo fanya mzee Butiku na mwanasiasa Rostam Aziz.
Je, leo uchaguzi ukiitishwa kura itamuangukia nani kama watasimama hawa?