Pre GE2025 Mbona ghafla mvuto umepotea? Hata wapiga pambio pumzi imekata. Kura ikipigwa leo utaangukia wapi?

Pre GE2025 Mbona ghafla mvuto umepotea? Hata wapiga pambio pumzi imekata. Kura ikipigwa leo utaangukia wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna mwenyekiti mmoja wa chama cha siasa amepoteza mvuto ghafla, lakini kutokana na hulka za siasa zetu haambiwi ukweli bali kwa mafumbo kama walivyo fanya mzee Butiku na mwanasiasa Rostam Aziz.

Je, leo uchaguzi ukiitishwa kura itamuangukia nani kama watasimama hawa?
SHida chadema siwapendi na ccm aliopo nae ananipa kigugumizi sana .....kama kile chama umoja party kingekuwepo kura ingeenda kule sababu team magufuli wangekuwa kule
 
Kuna mwenyekiti mmoja wa chama cha siasa amepoteza mvuto ghafla, lakini kutokana na hulka za siasa zetu haambiwi ukweli bali kwa mafumbo kama walivyo fanya mzee Butiku na mwanasiasa Rostam Aziz.

Je, leo uchaguzi ukiitishwa kura itamuangukia nani kama watasimama hawa?
Kwani huyo mwenyekiti anahitaji uchaguzi kutangazwa mshindi?
 
Lets say amepoteza mvuto,ni mpinzani gani anavutia kupewa mamlaka aongoze dola,mbowe au lipumba??au lisu
1726081137253.png
 
Generation ya sasa uoga umeisha!Ngoja tusubiri uchaguzi kama kitanuka maana maisha magumu serikali haiajiri vijana hivyo kula hasira kubwa mtaani.
 
Hajawahi kuwa na mvuto, ni njaa tu za watu, mkono uende kinywani, wakawa wanampamba kwa visivyopambika.
Mwenyewe kahangaika kwelikweli kuusaka "mvuto", lakini kila anacho sogelea kinamkimbia. Ule uchifu 'Hangaya' nyakati zile, hakuna kilicho patikana. Kahangaika na wana "sanaa" akitegemea wange mpamba avutie, lakini wapi.
Kahangaika na akina Mbowe, kwenye maridhiano ya hewa, ilipojulikana ni hadaa tupu mvuto ukaendelea kuwa 'mirage'.

Wakati yote haya yakiendelea, akawa anajishindiria mwenyewe kwenye shimo kwa kiburi na dharau; akijitangaza yeye ni chura, tena "chura kiziwi"! Ulaghai wote wa zile "4R" amabzo hata yeye mwenyewe hakujuwa maana yake ni nini hasa ukazidi kujitokeza bayana kwa kubainika wananchi wake wananyang'anywa huduma zote katika eneo wanakoishi; ikiwa ni njia ya kuwafukuza toka eneo hilo, kinyume kabisa na taratibu na ubinaadam.

Mtu wa aina hii atakuwa na umaarufu gani tena.
 
kwahiyo hapa ndio umepafanya mahali sahihi pa mihememko, makasiriko na maneno mbofu mbofu gentleman, right?🐒

licha ya kua si mahala pake ila unajua kuyaporomosha kwa mipangilio dah 🐒
Yaani umechuja kweli kweli. Hata machizi wenzako sasa wanakupuuza.
 
Kuna mwenyekiti mmoja wa chama cha siasa amepoteza mvuto ghafla, lakini kutokana na hulka za siasa zetu haambiwi ukweli bali kwa mafumbo kama walivyo fanya mzee Butiku na mwanasiasa Rostam Aziz.

Je, leo uchaguzi ukiitishwa kura itamuangukia nani kama watasimama hawa?
Hakika Samia ni majeshi tu yanamshikilia amepoteza mvuto kabisa.
 
Haijajulikana branding strategist ni nani ila ana kazi ya.kufanya zaidi. Hii kazi ilimfaa sana marehemu Ruge angepiga pesa angekuweko.

Ruge kwenye branding ya kila kitu including mwanasiasa ni genius wote hawa akina makamba, makonda, hata jiwe ruge ana mchango mkubwa sana wa kutengenezea content waliyotembea nayo.

Kule znz strategist wa branding anafamya kazi vizuri sana au wa oursource hata kwa private sector kama kina ndung'u.
 
Back
Top Bottom