Lissu top in the ListKuna mwenyekiti mmoja wa chama cha siasa amepoteza mvuto ghafla, lakini kutokana na hulka za siasa zetu haambiwi ukweli bali kwa mafumbo kama walivyo fanya mzee Butiku na mwanasiasa Rostam Aziz.
Jee leo uchaguzi ukiitishwa kura itamuangukia nani kama watasimama hawa?
Msoga line is getting us to hell,no money in wall street and the dollar no where trader are not selling,National debt service high and procurement not active and civil servants not motivated,kzmkz in jail cell.Non of the above.
"labda kama mambo yataharibika sana" Msoga line
Lisu na na Mwabukusi are the best for now!Lets say amepoteza mvuto,ni mpinzani gani anavutia kupewa mamlaka aongoze dola,mbowe au lipumba??au lisu
Hakuna hata mmoja,labda Filikunjombe afufukeLets say amepoteza mvuto,ni mpinzani gani anavutia kupewa mamlaka aongoze dola,mbowe au lipumba??au lisu
Tutasimama kwenye Nuru( Chadema)Kuna mwenyekiti mmoja wa chama cha siasa amepoteza mvuto ghafla, lakini kutokana na hulka za siasa zetu haambiwi ukweli bali kwa mafumbo kama walivyo fanya mzee Butiku na mwanasiasa Rostam Aziz.
Je, leo uchaguzi ukiitishwa kura itamuangukia nani kama watasimama hawa?
Huko chamani kwake hakuna bora zaidi yake pia??Lets say amepoteza mvuto,ni mpinzani gani anavutia kupewa mamlaka aongoze dola,mbowe au lipumba??au lisu
bado mwenyekiti wa chama Taifa atashinda tu na watu wake wa kazi, threat kwenye chama cha si hakuna tena, wameshamaliza kazi . Makamu mwenyekiti Taifa mwenyewe kajaa hofu yupo kimya mpka sasa dah 🐒Kuna mwenyekiti mmoja wa chama cha siasa amepoteza mvuto ghafla, lakini kutokana na hulka za siasa zetu haambiwi ukweli bali kwa mafumbo kama walivyo fanya mzee Butiku na mwanasiasa Rostam Aziz.
Je, leo uchaguzi ukiitishwa kura itamuangukia nani kama watasimama hawa?
Vyombo vya habari vimelala. Msemaji wa Rais amelala, idara ya habari maelezo wamelala. Mama atapataje coverage?Teka Teka,poteza poteza,ua ua!
Hadi wahisani wataaanza kutoa matamko kama ubalozi wa kina Trump,vyombo vya habari bongo haviwezi Fanya spinning ya hayo!
Amepotea kabisa!
Nani??nitajie wewe kisha tufanye tathminiHuko chamani kwake hakuna bora zaidi yake pia??
Tofauti na kusandiwa na Police na Tiss huyo hawezi kutoboa huo ndo ukweliLets say amepoteza mvuto,ni mpinzani gani anavutia kupewa mamlaka aongoze dola,mbowe au lipumba??au lisu