CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Mikono yake imejaa damu za watu wasiokuwa na hatia. Karma ipo.Kuna mwenyekiti mmoja wa chama cha siasa amepoteza mvuto ghafla, lakini kutokana na hulka za siasa zetu haambiwi ukweli bali kwa mafumbo kama walivyo fanya mzee Butiku na mwanasiasa Rostam Aziz.
Je, leo uchaguzi ukiitishwa kura itamuangukia nani kama watasimama hawa?
Tatizo lako siku zote uko nyuma ya wakati na hujui yanayoendelea nchi.bado mwenyekiti wa chama Taifa atashinda tu na watu wake wa kazi, threat kwenye chama cha si hakuna tena, wameshamaliza kazi . Makamu mwenyekiti Taifa mwenyewe kajaa hofu yupo kimya mpka sasa dah π
Nitakuwa upande wa yeyote atakayekwenda kuficha masanduku ya kura vijijiniJe, leo uchaguzi ukiitishwa kura itamuangukia nani kama watasimama hawa?
Kizimkazi akipita teke teke teke kule...Kuna mwenyekiti mmoja wa chama cha siasa amepoteza mvuto ghafla, lakini kutokana na hulka za siasa zetu haambiwi ukweli bali kwa mafumbo kama walivyo fanya mzee Butiku na mwanasiasa Rostam Aziz.
Je, leo uchaguzi ukiitishwa kura itamuangukia nani kama watasimama hawa?
kwahiyo alie nyuma ya wakati ni yeye au wewe na humjui kwamba dunia ni kijiji sasa?π€£Tatizo lako siku zote uko nyuma ya wakati na hujui yanayoendelea nchi.
Makamu alikuwa safari na karudi nchini, kabla hajatoka hata Airport kesha toa tamko kali bila woga wowote.
View: https://youtu.be/qVzF6vaT0Ro?si=5fyGeETJLdeYM9Lp
kwahiyo alie nyuma ya wakati ni yeye au wewe na humjui kwamba dunia ni kijiji sasa?π€£
hiyo safari alikua anatembea kwa miguu sio kwamba hakua anajua wala kuona duniani kinaendelea nini right?π€£
Mkuu mbona umepoa sana, duh kweli mama yenu mnayemsifia kawaangusha sana!!kwahiyo alie nyuma ya wakati ni yeye au wewe na humjui kwamba dunia ni kijiji sasa?π€£
hiyo safari alikua anatembea kwa miguu sio kwamba hakua anajua wala kuona duniani kinaendelea nini right?π€£
Tunaenda na CHAUMA chama makini uhakika wa chakula mezaniTutasimama kwenye Nuru( Chadema)
Malkia wa Kizi kapoteza mvuto haswaaaaaaaa,,kapoa zaid ya maji ya mtunginiKuna mwenyekiti mmoja wa chama cha siasa amepoteza mvuto ghafla, lakini kutokana na hulka za siasa zetu haambiwi ukweli bali kwa mafumbo kama walivyo fanya mzee Butiku na mwanasiasa Rostam Aziz.
Je, leo uchaguzi ukiitishwa kura itamuangukia nani kama watasimama hawa?
kumbe mimi ni mkuu wako, sikujua gentleman π€£Boss mbona
Mkuu mbona umepoa sana, duh kweli mama yenu mnayemsifia kawaangusha sana!!
Wewe ni legend wa Jf, hapa kwetu kila mtu ni mkuu hata kama tunatofautiana kimtazamo lakini bado Sisi ni watanzania wote.kumbe mimi ni mkuu wako, sikujua gentleman π€£
by the way,
tulikua na msiba mbaya na mzito sana hivi karibuni nadhani vitu visivyo zoeleka na vinavyotisha ni muhimu kuchukua tafakuri ya kina juu ya mambo hayo...
so,far nchi ni tulivu, Dr.Samia Suluhu Hassan anaendelea kutekeleza kazi na majukumu yake ya kuliongoza na kuliunganisha taifa kwa bidii sana na bila mbambamba yoyote π
kwan ulitaka kusemaje gentleman π
kwanza kabisa ieleweke bayana mimi si mkuu na wala sina na sistahili ukuu wowote..Wewe ni legend wa Jf, hapa kwetu kila mtu ni mkuu hata kama tunatofautiana kimtazamo lakini bado Sisi ni watanzania wote.
Khyo kukuita mkuu usijione nimekuheshimu au kukuogopa sana bali ni heshima tu tuliyojengewa kama taifa ambayo imeanza kutu cost pakubwa sana. Inatufanya kwasasa tumelekwe na watawala wanavyotaka ambao wewe unawasifia hata kama wamejamba ushuzi wenye uvundo.
umemisi ubwabwa mno inaonyesha dah gentleman πBABA SPUNDA RUNGWE FOR PRESIDENCY
Lets say amepoteza mvuto,ni mpinzani gani anavutia kupewa mamlaka aongoze dola,mbowe au lipumba??au lisu
Nani??nitajie wewe kisha tufanye tathmini
Kuna mwenyekiti mmoja wa chama cha siasa amepoteza mvuto ghafla, lakini kutokana na hulka za siasa zetu haambiwi ukweli bali kwa mafumbo kama walivyo fanya mzee Butiku na mwanasiasa Rostam Aziz.
Je, leo uchaguzi ukiitishwa kura itamuangukia nani kama watasimama hawa?