Mbona hakuna magari ya rangi ya kijani au njano umewahi kuona Harrier ya kijani?

Umewahi kuona hurrier ya kijani au njano.

Au umewahi kuona Land cruiser V8 new modeli ya njano.

Kwa kifupi Tanzania sijawahi kuona gari ndogo za kijani.na njano

Land Rover Defender hiyo 109 pick-up
 
Nimewahi kuona Lamborghini urus ya njano hapa bongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…