Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Nchi nyingine Kandanda ni mambo ya wanawakeπππWanawake na mpira wapi na wap
Siyo kweli wamewahi kushinda mara moja kwa bao 1 bila pale Lupaso sikumbuki ni mwaka gani mfungaji alikuwa Clara Luvanga anayekipiga kunako club ya Al Nasri ya Saudia kwasasaYanga Princess haijawahi kuifunga Simba Queens?
Moja bila. Ilipigwa kross beki wa Yanga Princess aitwaye Bhobho akajifunga.Simba Queens ameshinda ngapi mkuu?
Safi kabisa.!Moja bila. Ilipigwa kross beki wa Yanga Princess aitwaye Bhobho akajifunga.
Ah uwage unaonekana na wadada wakicheza bana....vipi lakini gamondi kasepa kweli?We Mzab kwani unautakia nini moyo wangu lakini. ππ
Kumbe anautaka moyo wako kabisa? Au nisiwaingilie?We Mzab kwani unautakia nini moyo wangu lakini. ππ
Mwasibu we nae. LolKumbe anautaka moyo wako kabisa? Au nisiwaingilie?
Hahahaaa. Kadri siku zinavyokwenda muda wa kuwa mtandaoni kwa muda mrefu unapotea eti we Mzab. πAh uwage unaonekana na wadada wakicheza bana....vipi lakini gamondi kasepa kweli?
Sawa wacha tuone itakuwaje. Leo ngoja kwanza tumalize jambo la kitaifa watu twende afconHahahaaa. Kadri siku zinavyokwenda muda wa kuwa mtandaoni kwa muda mrefu unapotea eti we Mzab. π
Kweli Gamondi amesepa na tumeshashusha chuma cha Kijerumani. Teh teh.
Ewaaa! Aliye juu atusimamie kwa kweeli.Sawa wacha tuone itakuwaje. Leo ngoja kwanza tumalize jambo la kitaifa watu twende afcon