Mbona harakati za kuidai Zanzibar huru ni kama zimekufa awamu hii?

Sisi majuha ndio wakoloni wenu,tunawaamulia Rais awe nani? Tena dodoma Tanganyika,Sisi ndio tunawalisha,na hata mifumo yenu ya elimu inatoka Kwa majuha,sisi ndio tunaamua huko U.N,FIFA,AU,EU,ECOWAS,SADC n.kvwanatutambua sisi majuha na sio nyie..

Na hata huyo mwenyekiti wa brza la mapinduzi,hana nguvu yoyote ile kwa majuha,majuha ndio wanakupatia umeme na pesa ya matumizi,kwa kifupi zanzibar ni mchepuko,na Siku zote mchepuko anapata upendeleo zaidi...
 

Kumbe mchepuko tunaupata kutoka kwa majuha 😳
😳😳😳😳😳
 
Heri ya sikukuu ya uungano wapendwa. Ila wazanzibari muache udini, mambo ya kukataza wenzenu kupika mchana mwezi wa ramadhani sio jambo jema mimi njaa inauma
 
Heri ya sikukuu ya uungano wapendwa. Ila wazanzibari muache udini, mambo ya kukataza wenzenu kupika mchana mwezi wa ramadhani sio jambo jema mimi njaa inauma

Kwani huwezi kubakia kwenu Tanganyika ukajilia utakavyo mpaka uje uudhi Waislamu Zanzibar?
 
Wizara ya fedha ya Tanganyika ofisi ziko wapi? Vipi kuna hio Wizara na hakuna nchi inayoitwa Tanganyika? 😀

Hakutakiwi kuwe na wizara ambayo eti si ya mambo Muungano wakati wizara hio ipo chini ya JMT!
 
Sasa mkuu kwa hekima zako na werevu wako wa hali ya juu unataka eneo lote la pori lilokuwepo Tanganyika bila kuwepo makaazi ya watu, watanganyika wahamie katika kieneo kidogo kilichopo Zanzibar is it fair?

Kwa hilo mkuu hapo umekosea let say umege watu milioni 5 kutoka katika Milioni 59 Watanganyika wahamie Zanzibar kutakuwa na makaazi tena??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…