TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Uzuri wote tulivaa kijani na njano, hakukuwepo na kaki au nyekundu humo ndani.
Kama una bundle angalia na usikilize hii 👇🏾.
Mzee baba alikuwa anapiga madongo ya kusiliba aina ya ukopaji na kuomba ovyo misaada, hii ilionyesha alikerwa sana na mfumo wake.
Ndugai (huyu aliyewahi kuwa spika alisema nchi itauzwa watu wakanuna, ooh haiwezekani kuuzwa mara pap, leo hii hapa nchi imeanza kumegwa vipande vidogo vidogo kuweka mamlaka za watu hapa hapa.
Kama hapa jamaa zangu niliokaa nao wote walisema hili ndilo jiwe asee CCM zumepata chuma, leo hawa jamaa sipo nao karibu ila nawaona kwenye site mirror wananuna ile mbaya kutokana na kauli hii ya mwamba.
Haya maneno nimeyaiba kwa kwenye status ya mpwa wangu huko: WHEN YOU MAKE A PACT WITH THE DEVIL, ALWAYS COMES BACK TO GET HIS DUES.
NB: Kumbuka jamaa wanataka pesa yao ya kishika uchumba.