GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Endeleeni kudhani wenye Akili hatujui kwanini mmeuchuna wakati siyo Kawaida yenu Kuuchuna katika Matukio kama hata tena likihusisha Taasisi ya Kiimani.
Halafu washaurini kama wataendelea kuwa hapo Makonde Wabadilike na kale 'Katabia Kero Kao' kwa Wanafunzi wa Kiume vinginevyo Moto wa Mwenyezi Mungu utarejea kama Adhabu Kwao na huenda wa safari ujao Ukawaunguza na kumrahisishia Kazi Israeli.