NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Kwani KQ ni shirika la kwanza Duniani kwenda US, utumwa wa wakenya lol.Kuna baadhi ya watu humu waliosema watahama JF KQ ikitua Marekani Karne hii. Kwa majina ndio hao
Geza Ulole
Mwanzi1
Barbarosa
joto la jiwe
Annael
mulisaaa
kadoda11
N.k
Sasa hivi KQ inatua Marekani. Nangoja hawa watu wasivunje ahadi.
Sasa mbona mlikesha humu mkiiponda KQ na juhudi za wakenya za kuhitimisha safari hiyo ya kuenda jehanam? πKwani KQ ni shirika la kwanza Duniani kwenda US, utumwa wa wakenya lol.
Mnaona kama mmeenda Mbinguni kwa Baba.
Nyie mlishangilia hearsay za kwenda Mumbai tu kabla hata hamjapewa kibali.Kwani KQ ni shirika la kwanza Duniani kwenda US, utumwa wa wakenya lol.
Mnaona kama mmeenda Mbinguni kwa Baba.
Hehehe, Sasa tutafantaje man, si unajua tena Maskini akiokota??? Let's celebrate our peanut harvest, and so should you.Nyie mlishangilia hearsay za kwenda Mumbai tu kabla hata hamjapewa kibali.
Hawa ni wanafik. Watakuambia walimaanisha, watahama Atcl ikienda Marekani.Kuna baadhi ya watu humu waliosema watahama JF KQ ikitua Marekani Karne hii. Kwa majina ndio hao
Geza Ulole
Mwanzi1
Barbarosa
joto la jiwe
Annael
mulisaaa
kadoda11
game over
N.k
Sasa hivi KQ inatua Marekani. Nangoja hawa watu wasivunje ahadi.
EAC passengers welcomed to fly NBO-NYC daily flights. #Now available. Book online.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]Kuna baadhi ya watu humu waliosema watahama JF KQ ikitua Marekani Karne hii. Kwa majina ndio hao
Geza Ulole
Mwanzi1
Barbarosa
joto la jiwe
Annael
mulisaaa
kadoda11
game over
N.k
Sasa hivi KQ inatua Marekani. Nangoja hawa watu wasivunje ahadi.
ππππHawa ni wanafik. Watakuambia walimaanisha, watahama Atcl ikienda Marekani.
Hahaha, sawasawa mzaeHehehe, Sasa tutafantaje man, si unajua tena Maskini akiokota??? Let's celebrate our peanut harvest, and so should you.
Leta evidence kwamba nimesema hivyo! The only thing I know by next year this time, u will be minting losses like u have been doing for the past 10 years!Kuna baadhi ya watu humu waliosema watahama JF KQ ikitua Marekani Karne hii. Kwa majina ndio hao
Geza Ulole
Mwanzi1
Barbarosa
joto la jiwe
Annael
mulisaaa
kadoda11
game over
N.k
Sasa hivi KQ inatua Marekani. Nangoja hawa watu wasivunje ahadi.
The only thing I know, next year you'll also be denying you ever said this.πππLeta evidence kwamba nimesema hivyo! The only thing I know by next year this time, u will be minting losses like u have been doing for the past 10 years!
now he is shifting his goal postsLeta evidence kwamba nimesema hivyo! The only thing I know by next year this time, u will be minting losses like u have been doing for the past 10 years!
Leta evidence nilisema ntahama!The only thing I know, next year you'll also be denying you ever said this.πππ
Hahaha! [emoji1] Huyu mzee ana stress kibao sana.The only thing I know, next year you'll also be denying you ever said this.
Afadhali Chadema mara mia moja.Mkuu msiwe mnawaendekeza uvccm uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana