Mbona hawa majamaa hawajahama JF?

Mbona hawa majamaa hawajahama JF?

muhimbili 6, hivi sasa wanapumulia mipira ya mkojo pale muhimbili.
 
Geza Ulole sasa hivi, akiwaza za KQ na safari ya New York.[emoji38]
goodluck-jonathan-confused.jpg
 
Kwani KQ ni shirika la kwanza Duniani kwenda US, utumwa wa wakenya lol.
Mnaona kama mmeenda Mbinguni kwa Baba.
Sasa mbona mlikesha humu mkiiponda KQ na juhudi za wakenya za kuhitimisha safari hiyo ya kuenda jehanam? 😎
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna baadhi ya watu humu waliosema watahama JF KQ ikitua Marekani Karne hii. Kwa majina ndio hao
Geza Ulole
Mwanzi1
Barbarosa
joto la jiwe
Annael
mulisaaa
kadoda11
game over

N.k

Sasa hivi KQ inatua Marekani. Nangoja hawa watu wasivunje ahadi.
EAC passengers welcomed to fly NBO-NYC daily flights. #Now available. Book online.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Screenshot_20181029-070049.jpeg
 
Back
Top Bottom