Wewe uhame? Ukihama dunia itaisha.Leta evidence nilisema ntahama!
Umeangalia utaifa wao kichama?Kuna baadhi ya watu humu waliosema watahama JF KQ ikitua Marekani Karne hii. Kwa majina ndio hao
Geza Ulole
Mwanzi1
Barbarosa
joto la jiwe
Annael
mulisaaa
kadoda11
game over
N.k
Sasa hivi KQ inatua Marekani. Nangoja hawa watu wasivunje ahadi.
ππππSijaangalia, ebu nielezee.Umeangalia utaifa wao kichama?
Here is my home!Wewe uhame? Ukihama dunia itaisha.
Ngoja nisachi kwenye radar... Ooh naona utaifa wa kijani na njano[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijaangalia, ebu nielezee.
Hiyo ndege imepoteza mawasiliano kama ile ya lion Air ya Indonesia!Kuna baadhi ya watu humu waliosema watahama JF KQ ikitua Marekani Karne hii. Kwa majina ndio hao
Geza Ulole
Mwanzi1
Barbarosa
joto la jiwe
Annael
mulisaaa
kadoda11
game over
N.k
Sasa hivi KQ inatua Marekani. Nangoja hawa watu wasivunje ahadi.
Usipotusi Wakenya huwezi pata usingizi usiku.Hata kazi za kinyumbani zitakushinda. Wewe lazima utusi Wakenya ndio angalau upate furaha kidogo maishani.Here is my home!
Mbona usitoe akili matak*ni?Hiyo ndege imepoteza mawasiliano kama ile ya lion Air ya Indonesia!
ππThe only thing I know, next year you'll also be denying you ever said this.πππ
Ukiwa na pool of Kunyans that can't let a day pass before they check what I have posted! What do u expect?Usipotusi Wakenya huwezi pata usingizi usiku.Hata kazi za kinyumbani zitakushinda. Wewe lazima utusi Wakenya ndio angalau upate furaha kidogo maishani.
Huwa unanichekesha sana .Ukiwa na pool of Kunyans that can't let a day pass before they check what I have posted! What do u expect?
Why don't you stop posting halafu uone kama tutashughulika? Maisha itaendelea kama kawaida. Hata hatutajua eti umeendaUkiwa na pool of Kunyans that can't let a day pass before they check what I have posted! What do u expect?
Hahaa! [emoji1] Hapa kwenye jukwaa la Kenyan News and Politics. Jaribu siku moja kujitosa hata angalau kwenye jukwaa la siasa ama la hoja na habari mchanganyiko. Mzee, umekomalia humu kwa miaka zaidi ya kumi, kama sijakosea.Ukiwa na pool of Kunyans that can't let a day pass before they check what I have posted! What do u expect?
Tony Kuria, U found me posting in here! the least u can do is ignore me!Why don't you stop posting halafu uone kama tutashughulika? Maisha itaendelea kama kawaida. Hata hatutajua eti umeenda
Sawa. EndeleaTony Kuria, U found me posting in here! the least u can do is ignore me!